Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Music: Diaz Man Ft. Ben pol — Nikuweke Ndani

Wimbo mpya wa msanii Diaz Man unaitwa “Nikuweke Ndani” amemshirikisha Ben Pol, Producer Fraga Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Kuna chochote tutarajie baada ya Ben Pol kukutana na Patoranking Afrika Kusini? Ben Pol ana majibu…

Ben SA-1

Safari ya Ben Pol Afrika Kusini imempa nafasi ya kukutana na mastaa wa Afrika ambao kwa namna moja ama nyingine alikuwa na ndoto za kuja kufanya nao kazi hapo baadae.

Ben SA-1

Ben Pol ambaye ameenda jijini Johannesburg kushoot video ya wimbo aliomshirikisha Avril na Rossie M, ambayo imefanyika jana, pia alipata nafasi ya kukutana na staa wa Nigeria, Patoranking.

Ben pol na Patoranking2
Ben Pol na Patoranking

Baada ya kupost picha akiwa na staa huyo kwenye Instagram, mashabiki walianza kupata hisia kuwa huenda kuna...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Ben Pol — Sophia

Huu ndo wimbo ambao ulikuwa unasubiliwa kwa hamu kutoka kwa Ben Pol wimbo unaitwa “Sophia” Producer Mswaki

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Ben Pol — Twaendana

Muimbaji wa R&B, Ben Pol ameachia wimbo wake mpya ‘Twaendana’ uliotayarishwa na producer wa Arusha, DX. Usikilize hapa.

 

10 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: DO IT - YOUNG D ft. BEN POL (DOWNLOAD)




Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: MRap ft Ben Pol — Nikubembeleze

Wimbo mpya wa rapper MRap akimshirikisha Ben Pol wimbo unaitwa “Nikubembeleze” Producer Bob Manecky Studio AM Records

 

9 years ago

Bongo5

Music: Gentriez Ft. Ben Pol x GodZilla — Nimpata

Wimbo mpya wa msanii Gentriez unaitwa “Nimpata” amewashirikisha Ben Pol na GodZilla. Producer Darsh na Davy

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

Bongo5

New Music: Mic Lon ft Ben Pol — Nitarudi

Mwana Hip hop Mic Lon ameachia ngoma Mpya akishirikisha Ben Pol ngoma inaitwa “Nitarudi” Producer Ben Mwamba

 

9 years ago

Bongo5

Music: LastBorn Ft Ben Pol – Nipe Majibu

Last Born

Msanii Mpya rapper anaitwa LastBorn ameachia wimbo mpya unaitwa “Nipe Majibu”. Studio Classic Sound

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani