Music: Justin Bieber — Hotline Bling (Remix)
Justin Bieber ameingia kwenye orodha ya wasanii walioamua kufanya remix ya ‘Hotline Bling’, wimbo wa rapper Drake. Wengine waliofanya remix ya wimbo huo ni pamoja na Keyshia, Cole, Trina, Erykah Badu, Jadakiss na Mila J. Tofauti na walivyofanya wasanii wengine, Bieber aliamua kuwaambia mashabiki wake wapige namba maalum ili kusikiliza. Album ya Justin Bieber, ‘Purpose’ […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo521 Oct
Music: Trina — Hotline Bling (Remix)
9 years ago
Bongo528 Sep
Music: Keyshia Cole — Hotline Bling (Remix)
9 years ago
Bongo523 Oct
Music: Justin Bieber — Sorry
9 years ago
Bongo529 Aug
New Music: Justin Bieber — What Do You Mean?
9 years ago
Bongo510 Nov
Music: Justin Bieber Feat. Halsey — The Feeling
![justin-bieber-purpose-cover](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/justin-bieber-purpose-cover-300x194.jpg)
Wimbo mpya wa msanii Justin Bieber ambao unapatika katika album yake mpya ya ‘Purpose’ wimbo unaitwa “The Feeling”. Amemshirikisha Halsey
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo517 Nov
Music: Justin bieber Ft. Ariana Grande – What do you mean? (Rmx)
![ariana-bieber](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/ariana-bieber-300x194.jpg)
Justin bieber baada ya kutoa album yake mpya ya ‘Purpose’ katika album hiyo amewashirikisha Nas, Big Sean, Halsey na Travis Scott na mwanadada Ariana Grande ameshirikishwa kwenye Remix ya hit ya album hiyo “what do you mean”?
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo520 Oct
Video: Drake — ‘Hotline Bling’
9 years ago
Bongo519 Oct
Music: Justin Bieber Feat. Selena Gomez — Strong
9 years ago
Bongo529 Dec
New Music: Ibrah – Sorry Swahili Version (Justin Bieber Cover)
![PicsArt_12-25-03.04.50](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/PicsArt_12-25-03.04.50-300x194.jpg)
Sikiliza cover ya Kiswahili ya hit single ya Justin Bieber ‘Sorry’ iliyofanywa na Ibrah.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!