Music: Keyshia Cole — Hotline Bling (Remix)
‘Hot Line Bling,’ (original) ni wimbo wa rapper Drake ambao mwimbaji Keyshia Cole ameamua kuja na remix yake. Mwingine ambaye amefanya remix ya wimbo huo ambao unafanya vizuri kwa sasa ni pamoja na Jadakiss, remix yake ameiita “Thot Line Bling.” Isikilize hapa version ya Keyshia Cole Na hii ni vesrion ya Jadakiss Hii ni original […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo521 Oct
Music: Trina — Hotline Bling (Remix)
9 years ago
Bongo531 Oct
Music: Justin Bieber — Hotline Bling (Remix)
![bieber-hotline-bling](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/bieber-hotline-bling-94x94.jpg)
9 years ago
Bongo520 Oct
Video: Drake — ‘Hotline Bling’
10 years ago
GPL22 Oct
10 years ago
Bongo509 Jan
New Videos: Keyshia Cole — New Nu / Do That For (B.A.B.)
9 years ago
Bongo527 Nov
Drake ajibu ombi la Adele la kutaka kuwemo kwenye ‘official remix’ ya Hotline Bling
![adele-drake-hotline-bling](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/adele-drake-hotline-bling-300x194.jpg)
Adele alidai kutamani kuwepo kwenye official remix ya wimbo wa Drake, Hotline Bling.
Mashabiki wao walikuwa wanasubiri tu jibu la Drake na sasa rapper huyo wa Toronto amejibu. “Nitafanya chochote kwa Adele,” Drake aliwaambia waandishi wa habari jijini Toronto Jumatano hii alipoenda kuangalia game ya timu ya kikapu ya Raptors.
“Ninaweza hata kwenda nyumbani kwa Adele muda huu na kufua nguo zake,” aliongeza.
Kwenye mahojiano hivi karibuni, Adele alisema: “I love Drake so much. I even got the...
9 years ago
Bongo523 Nov
Adele aonesha nia ya kutaka kufanya official remix ya ‘Hotline Bling’ ya Drake
![Adele and drake](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Adele-and-drake-300x194.jpg)
Collabo ya muimbaji wa Uingereza, Adele na rapper wa Canada, Drake yanukia. Hit maker wa ‘Hello’ Adele amesema kuwa angependa kufanya official remix na Drake ya hit song ya rapper huyo ‘Hotline Bling’.
Katika mahojiano ya hivi karibuni na Danielle Graham, Adele amekiri kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa Drake kiasi mpaka aliamua kununua koti jekundu linaloonekana kwenye video ya ‘Hotline Bling’.
“I really want us to do an official remix,” amesema Adele. “I love Drake. I love Drake so much. I...
9 years ago
Bongo519 Nov
Video: Sikiliza gospel remix ya wimbo wa Drake ‘Hotline Bling’ iliyofanywa na kwaya ya kanisani
![drake](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/drake-300x194.jpg)
Zimetoka cover nyingi za hit song ya Drake ‘Hotline Bling’, lakini ulitarajia kama kuna watu wangeamua kufanya gospel remix ya wimbo huo?
Kwaya ya gospel ya kanisa la Destiny la Atlanta, Marekani iliamua kufanya remix ya wimbo huo kwa kubadili mashairi ya Drake na kuweka maneno ya kumsifu Mungu. Kuna video imesambaa ya kwaya hiyo ikitumbuiza remix hiyo kanisani huku shwangwe zikitawala kutoka kwa waumini.
Hotline Bling gospel remix inaanzia 1:30
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...