Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Videos: Keyshia Cole — New Nu / Do That For (B.A.B.)

Hizi ni video mbili mpya kutoka kwa Keyshia Cole za ngoma zake ‘New Nu’, ‘Do That For (B.A.B.). Zinapatikana katika album yake, ‘Point Of No Return.’

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

10 years ago

Bongo5

Music: Keyshia Cole — Hotline Bling (Remix)

‘Hot Line Bling,’ (original) ni wimbo wa rapper Drake ambao mwimbaji Keyshia Cole ameamua kuja na remix yake. Mwingine ambaye amefanya remix ya wimbo huo ambao unafanya vizuri kwa sasa ni pamoja na Jadakiss, remix yake ameiita “Thot Line Bling.” Isikilize hapa version ya Keyshia Cole Na hii ni vesrion ya Jadakiss Hii ni original […]

 

11 years ago

BBC

Cole and Eto'o released by Chelsea

Ashley Cole and Samuel Eto'o leave Chelsea after their contracts expire, but Mark Schwarzer agrees a new one-year deal.

 

5 years ago

Bongo5

Rapper J. Cole awa Baba

Rapper J.Cole na mkewe Melissa Heholt wamepata mtoto wao wa kwanza tangu kufunga ndoa mwaka 2016.

J. Cole ameyathibitisha haya kwenye mahojiano aliyoyafanya kwenye jarida la ‘The New York Times’la nchini Marekani ambaloi limeandika, ” J.Cole amepata mtoto na mke wake Melissa Heholt. Huyu ni mtoto wa kwanza kwa J Cole na mke wake, ila amesita kutoa jina na jinsia ya mtoto huyo.”

Hivi karibuni Cole atatoa makala yake kupitia HBO itakayoitwa ‘J. Cole: 4 Your Eyez Only’.

Tetesi zinaonyesha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Cole kumwaga vifaa Karume

NYOTA wa zamani wa Manchester United ya England, Andy Cole aliyetua nchini juzi usiku, leo asubuhi anatarajia kutembelea na kucheza soka na watoto wa vituo mbalimbali kwenye Uwanja wa Karume,...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAMPOKEA ANDY COLE

Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Manchester United Andy Cole akiwa sehemu ya VIP kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jana usiku mara tu baada ya kuwasili kwa mwaaliko wa kampuni ya Mawasiliano ya Airtel Tanzania.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Bw. Jackson Mbando (kulia) akimkaribisha Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Manchester United Andy Cole (kushoto) mara tu baada ya kuwasili nchini kwa mwaaliko...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Bongo5

J.Cole awataja rappers watano anaowakubali

J. Cole amewataja rappers watano anaowakubali zaidi wakati akiongea na Angie Martinez kwenye kituo cha redio cha Power 105.1 jana kupromote album yake mpya, 2014 Forest Hills Drive. Aliwataja rappers wa nne bila mpangilio maalum kuwa ni Tupac Shakur, Notorious B.I.G., Nas, na bosi wake wa Roc Nation, Jay Z. Hata hivyo alijikuta njia panda […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani