Rapper J. Cole awa Baba
Rapper J.Cole na mkewe Melissa Heholt wamepata mtoto wao wa kwanza tangu kufunga ndoa mwaka 2016.
J. Cole ameyathibitisha haya kwenye mahojiano aliyoyafanya kwenye jarida la ‘The New York Times’la nchini Marekani ambaloi limeandika, ” J.Cole amepata mtoto na mke wake Melissa Heholt. Huyu ni mtoto wa kwanza kwa J Cole na mke wake, ila amesita kutoa jina na jinsia ya mtoto huyo.”
Hivi karibuni Cole atatoa makala yake kupitia HBO itakayoitwa ‘J. Cole: 4 Your Eyez Only’.
Tetesi zinaonyesha...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo522 Sep
Mrembo na mtangazaji wa Uganda Flavia Tumusiime asimulia jinsi rapper J-Cole alivyotaka ‘kumla uroda’
9 years ago
Bongo527 Oct
Rapper Songa afiwa na baba yake
10 years ago
BBCSwahili24 Jun
Polisi awa baba kufuatia ajali
10 years ago
BBCSwahili08 Jan
Aliyepandikiza mbegu kwa mkewe awa Baba
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Mtoto wa H-Baba awa balozi wa duka la EBM
H-Baba akimsaidia kukata keki ya sherehe mwanaye Tanzanite.
Tanzanite akimlisha keki baba yake H-Baba huku mama yake mzazi akishuhudia kwa karibu tukio hilo.
Muigizaji wa filamu Davina akilishwa keki na Tanzanite.
Mmiliki wa duka lililomteua Tanzanite kuwa balozi wake, Ernest Makulilo, akilishwa keki hiyo.
Mdhamini wa shughuli hiyo ambaye ni Mkurugenzi wa The Fadhagate Sanitarium Clinic Child akilishwa keki.
Davina akiwakabidhi tuzo ya Wanandoa Bora H-Baba na mkewe Flora Mvungi.
9 years ago
Bongo516 Oct
Rapper wa S.A Cassper Nyovest amshirikisha rapper wa U.S.A The Game kwenye album yake mpya, ‘Refiloe’
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-10
ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA:
“Eti anakuuliza wewe nani?” aliuliza yule abiria akiwa ameinama kidogo ili amuone vizuri yule abiria…
“Anasema anaitwa baba Pili,” yule abiria alimwambia mama Pilima.
Mama Pilima akatembea kwa kasi hadi mlangoni mwa gari…
“Mzima baba Pili?”
“Mzima, twende nikupe lifti.”
SHUKA NAYO MWENYEWE SASA…
Mama Pilima alijikuta akizama ndani ya gari hilo huku akisema…
“Kwani we unakwenda wapi?”
“Mbelembele kule…wewe unakwenda wapi?” alisema baba Pili…
“Nakwenda mahali mara...
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-6
ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA:
“Yes! Hakuna mtu anayepita eneo hili muda huu,” alisema mama Pilima hali iliyomfanya baba Pili aamini kwamba huenda wanakwenda kutimiza ndoto yake…
“Egemea kiti,” alisema mama Pilima…
JIRUSHE MWENYEWE…
Baba Pili aliegemea kiti kwa haraka sana, akatumbua macho kusubiri hatua nyingine akiamini ataambiwa au ataelekezwa…
“Mmm! Baba Pili acha mi niende bwana. Muda umekwenda kwelikweli, si ajabu nyumbani wameanza kuingiwa na wasiwasi,” alisema mama Pilima akiwa tayari...
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-5
ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA:
“Sasa niwe nyumba ndogo yako baba Pili si utakuwa unapata shida? Mimi najua nyumba ndogo lazima iwe free…ukitaka kwenda unakwenda muda wowote ule.”
“Hapana si lazima…unaweza kuwa mke wa mtu halafu bado ukawa nyumba ndogo yangu,” alifafanua baba Pili akionekana yuko siriasi kabisa na maneno yake…
JIACHIE MWENYEWE…
“Mh! Mimi nadhani au napendekeza tuendelee kuwa kama hivi…marafiki wakubwa lakini wa siri…mume wangu baba Pilima asijue wala mke wako mama Pili...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10