Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Music: Koba — Zawadi

Msanii Koba amechia wimbo mpya unaitwa “Zawadi” Studio Mazuu Records Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

New Video: Koba Ft Dully Sykes — Kizungumkuti

Msanii Koba a.k.a Mtu Pori kama anavyo jiita kutokea Morogoro hapa akiwa amemshirikisha Dully Sykes ngoma inaitwa “Kizungumkuti”

 

10 years ago

Mwananchi

Koba: Dakika tisa ulingoni zilinipa kazi

Koba Kimanga ni miongoni mwa mabondia waliotamba na timu ya Taifa ya ngumi kati ya mwaka 1978 hadi 1998.

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA MOHAMED MATUMLA KUMVAA KOBA DONATI IDI PILI BAGAMOYO


Na Mwandishi Wetu
BONDIA Mohamed Matumla anatalajia kupanda tena uringoni siku ya Idi pili katika ukumbi wa TASUBA uliopo Bagamoyo Mkoa wa Pwani kupambana na Koba Nodat katika uzito wa KG 57 mpambano wa raundi sita Matmla anapambana mpambano uho baada ya mpambano wake wa mwisho kumtwanga Mchina kwa pointmratibu na promota wa mpambano uho Muhsin Sharif amesema amesema mbali na mpambano uho kutakuwa na mapambano mengine ya utangulizi litawakutanisha bondia Iddi Pialali kutoka Kiwangwa Bagamoyo...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND KUMKABIDHI WEMA SEPETU ZAWADI YA GARI MBILI BMW NA NISSAN MORANO KAMA ZAWADI YA BIRTHDAY YAKE.


na hiki ndicho alichokisema mwanadada zamaradi kuhusiana na zawadi hiyo BIRTHDAY YA MWAKA!!!!!!!!! Hizi ndio zawadi kubwa alizopata WEMA leo.... NISSAN MURRANO na BMW moja kali hatari NYEUPE!!!! Asante mmanyema mwenzangu @diamondplatnumz umefunga watu midomo kudaadeki!!!! Hiyo nyeusi hapo ndio zawadi aliyotoa Diamond kwenda kwa @wemasepetu na zaidi alieleta Kukabidhi ni MAMA DIAMOND!!! how sweeeeeet..... haya sijui jipya lipi tena hapa la kuongea!!!
Utaniazimaga kamoja wema niwe nacruise...

 

9 years ago

Bongo5

Mc Koba aeleza sababu za kuamua kutumia mtindo wa mchiriku na mdundiko kwenye muziki wake

koba

Aliyewahi kuwa muimbaji wa kundi la zamani la Watu Pori kutoka Morogoro, Mc Koba amesema ameamua kufanya mabadiliko kidogo katika style ya muziki wake ili kwenda sawa na matarajio ya wengi ambao hupenda kuona mabadiliko kutoka kwa wasanii ambao wako kwenye game kwa muda mrefu.

koba

Akizungumza kupitia E Newz ya EATV, Koba ametoa sababu nyingine ya kuamua kufanya aina ya muziki wenye mchanganyiko wa mdundiko na mchiriku.

“Kwanini nimeamua kufanya mtindo huu aina ya mchanganyiko wa mdundiko na...

 

11 years ago

GPL

NJOO USHUHUDIE NYIMBO TAMU ZA KIMAHABA NA ZAWADI KEM KEM SIKU YA WAPENDANAO (VALENTINE'S DAY) NA LIVE MUSIC KUTOKA SKYLIGHT BAND IJUMAA HII‏

Hii ni moja ya Live Performance ya Wimbo wa John Legenda wa All on Me ulioimbwa na Sam Mapenzi wa Skylight Band. Sam Mapenzi a.k.a Asali ya warembo akiimba kibao cha John Legend kinachobamba duniani kote kinachofahamika kama "All on Me" kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai…

 

9 years ago

Michuzi

African in New York Episode 23: Music From The Tanzanian Diapora: The Authenticity of Modern Music

Tina Kakolaki is a Tanzanian born musician who resides in the United States. She sings in Haya, Swahili and English. With two albums already in the market and one still a work in progress, Tina has attracted a significant number of fans worldwide.  As a member of the Tanzanian Diaspora, Tina has embraced both the Tanzanian and the American cultures and her music speaks for itself carrying the message of love. Moreover, Tina has become one of the musicians in the United States who still have...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani