Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Music: Sampamba Music Feat Meda – Suprise

Sambamba Music

wimbo mpya toka kwa Sampamba Music akimshirikisha meda unaitwa “Suprise” umeandaliwa na producer silley katika studio za sampamba music.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: Sampamba Music Ft Jay Mike — Tick Tock

Niwasanii toka Mkoani Iringa Tanzania wanaitwa Sampamba Music wapo chini ya Studio inayojulikana kwa jina la Sampamba Music wametoa wimbo mpya unaitwa “Tick Tock” wamemshirikisha msanii toka Marekani anayejulikana kwa jina la Jay mike Wimbo umefanyika katika studio za Sampamba Music zilizopo Tanzania[Iringa] na Studio za Allusion Muzik zilizopo Marekani. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Meda — Princess Tiffah

Msanii Meda baada ya kutoka na wimbo wa “Barua Kwa Diamond” ametoa wimbo huu unaitwa “Princess Tiffah” kwaajili ya mtoto wa Diamond Platnumz. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Meda Classic – Some Body

Meda Classic1

Msanii wa Bongo fleva Meda Classic ameachia hii Single mpya inaitwa “Some Body” kwa kufungua mwaka hii ni zawadi kwa mashabiki wake wimbo umetaalishwa na Producer Floryz.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Drake Feat. Beyoncé — Can I

Rapper Drake ametoa single yake mpya aliyofanya na Beyonce. Wimbo unaitwa “Can I,” uliwahi kuvuja ila ulikuwa demo tu sikiliza hapa. Drake na Beyonce waliwahi kusikika kwenye wimbo wa “Mine” ambao ulikuwa katika album ya Beyoncé ya mwaka 2013. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Timbaland Feat. Migos — ‘Them Jeans’

timbaBaada ya mwezi mmoja kupita toka aachie ‘Ufo’ aliyowashirikisha rapper Future na Tink, producer mkongwe na rapper Timbaland amerudi na single mpya ‘Them Jeans’. Wimbo huu aliowashirikisha kundi la Migos utapatikana katika album yake mpya ijayo ‘TextBook Timbo’. Kuhusiana na album hiyo, baadhi ya wasanii watakaoshirikishwa ni pamoja na Jay Z, Justin Timberlake, Missy Elliott, […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Kcee Feat. Timaya — Alkayida

Kcee is out with a new song called Alkayida and he features Timaya on this one. The song was produced by Doctor Amir. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Akon Feat. Migos — Whole Lot

akon-stadium-urbanMsanii wa Pop na R&B kutoka Marekeani Akoni ameachia single yake mpya ambayo inatoka kwenye Album ya ‘Stadium‘, wimbo unaitwa ‘Whole Lot’ amemshirikisha rapper Migos. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani