Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Music: Sampamba Music Ft Jay Mike — Tick Tock

Niwasanii toka Mkoani Iringa Tanzania wanaitwa Sampamba Music wapo chini ya Studio inayojulikana kwa jina la Sampamba Music wametoa wimbo mpya unaitwa “Tick Tock” wamemshirikisha msanii toka Marekani anayejulikana kwa jina la Jay mike Wimbo umefanyika katika studio za Sampamba Music zilizopo Tanzania[Iringa] na Studio za Allusion Muzik zilizopo Marekani. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: Sampamba Music Feat Meda – Suprise

Sambamba Music

wimbo mpya toka kwa Sampamba Music akimshirikisha meda unaitwa “Suprise” umeandaliwa na producer silley katika studio za sampamba music.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Mike Tee — I Miss You

Wimbo mpya kutoka kwa Mike Tee unaitwa “I Miss You” Producer Pancho Latino

 

9 years ago

Bongo5

Music: Jay Moe Ft Deddy – Hili Game

jay Mo

Juma Mohamed Mchopanga a.k.a Jay Moe baada ya kimya karudi na wimbo mpya unaitwa “Hili Game”, Amemshirikisha Deddy Producer P-Funk Majani ndani ya studio za Bongo Records.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Professor Jay f/ Jose Chameleone — Kwaajili Yako

Professor Jay ameachia single yake mpya aliyomshirikisha swahiba wake, Jose Chameleone. Ngoma inaitwa ‘Kwaajili Yako’ na imetayarishwa na Villy kwenye studio za Mwanalizombe.

 

11 years ago

Bongo5

New Music: Professor Jay f/ J Hustle & Nigga J – Tatu Chafu

Profesa Jay ameachia ngoma yake mpya, ‘Tatu Chafu’ iliyofanyika kwenye studio yake, Mwanalizombe Records chini ya producer, Villy. Kwenye ngoma hii, Professor J amewashirikisha J Hustle (ambaye ni Prof aliyekuwa underground mwenye hasira na Nigga J aliyekuwa Hard Blasters Crew (HBC) na Professor J ndio yule ‘The Heavy Weight MC’.

 

10 years ago

Bongo5

New Music Videos: Professor Jay – Tatu Chafu & Kipi Sijasikia

Joseph Haule a.k.a Professor Jay ameachia video zake mbili kwa mpigo,’Tatu Chafu’ aliyofanya na director Hefemi pamoja na Kipi Sijasikia iliyoongozwa na Adam Juma.

 

9 years ago

Bongo5

Music: Jay Rock Feat. Kendrick Lamar & SZA – Traffic Jam (Easy Bake Remix)

jay-rock-traffic-jam

Jay Rock keeps giving. Just in time for Thanksgiving, the TDE rapper is joined by his fam, Kendrick Lamar and SZA, on a remix to “Easy Bake” off his sophomore album 90059. Now titled “Traffic Jam,” the new version picks up where “Easy Bake” left off, with SZA taking the lead. Kendrick follows with a ballistic verse (“I’m Chris Paul, West Coast, All-Star, stupid”), and Jay Rock spits some passionate rhymes. Dig in.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani