Muswada wa Sheria ya stakabadhi ghalani wapitishwa
MUSWADA wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Stakabadhi Ghalani wa mwaka 2014, umepitishwa rasmi na Bunge, huku Serikali ikiwahakikishia wananchi kuwa changamoto zote za usimamizi zinazohusu masuala ya stakabadhi ghalani, zitapatiwa ufumbuzi kupitia muswada huo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima30 May
‘Mfumo wa stakabadhi ghalani ubadilishwe’
BAADHI ya wakulima wa korosho nchini, wameiomba serikali kupitia Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, kuufanyia mabadiliko makubwa mfumo wa stakabadhi ghalani, ili kumwezesha mkulima kunufaika na zao hilo. Wakizungumza...
11 years ago
Tanzania Daima09 Aug
Chiza ataka maboresho stakabadhi ghalani
WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza, amesema njia pekee na nzuri ya kumsaidia mkulima ni kuhakikisha mfumo wa stakabadhi ghalani unaboresha. Chiza aliyasema hayo juzi kwenye katika siku ya...
10 years ago
Tanzania Daima08 Nov
‘Mfumo stakabadhi ghalani haulazimishi kukopa’
MKURUGENZI wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), Mfaume Juma, amesema kuwa mfumo wa stakabadhi ghalani haumlazimishi mkulima kukopa fedha benki kabla ya kuuza korosho zake. Kauli hiyo, aliitoa juzi katika...
10 years ago
Mwananchi05 Dec
Stakabadhi ghalani yapaisha bei ya korosho Mtwara
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-5_rbGkqPk-8/XsKDZJqhOII/AAAAAAALqp8/r2s4vG0rVeAwDvjpYcyhkSwBirNZo4gmgCLcBGAsYHQ/s72-c/unnamed.png)
WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI KUANZISHA STAKABADHI GHALANI.
![](https://1.bp.blogspot.com/-5_rbGkqPk-8/XsKDZJqhOII/AAAAAAALqp8/r2s4vG0rVeAwDvjpYcyhkSwBirNZo4gmgCLcBGAsYHQ/s640/unnamed.png)
NA YEREMIAS NGERANGERA…NAMTUMBO
Wananchi na wakulima wa mazao ya ufuta .soya ,choroko wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma wanaishukuru serikali kwa kuanzisha mfumo wa mauzo kwa njia ya stakabadhi ghalani ambao unawanufaisha wakulima.
Wakiongea kwenye mnada wa kwanza, wa pili na watatu katika ghala la ushirika lililopo katika mamlaka ya mji mdogo wa Namtumbo ulikokuwa unafanyika mnada huo ,wananchi na wakulima waliohudhuria mnada huo walisema serikali imelenga kuwanufaisha...
10 years ago
Habarileo04 Jul
Muswada kulinda watoa taarifa wapitishwa
BUNGE limepitisha Muswada wa Sheria ya Kuwalinda watoa Taarifa za Uhalifu na Mashahidi wa mwaka 2005, kuhakikisha usiri wa wapokea taarifa na ushawishi kwa wenye taarifa za uhalifu mkubwa kama ugaidi na ubadhirifu wasikae kimya.
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Wanasiasa waache kuchanganya wakulima mfumo wa stakabadhi ghalani
UONGOZI imara wa Vyama vya Ushirika umewezesha ufanisi kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani katika maeneo yanayolima kahawa mkoani Kilimanjaro, lakini wanasiasa ni changamoto katika hilo kwa kuwa wanatumia majukwaa kupanga...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bpHU5NJRrnE/Xs5Jrc6zrGI/AAAAAAALrtA/rckOioXlnHgbpmDD6huX-KAE69X_W6c6ACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200527-WA0011.jpg)
MFUMO WA STAKABADHI GHALANI UNAKWENDA KUMNUFAISHA MKULIMA WA UFUTA -RC NDIKILO
MKOA wa Pwani, umekemea wakulima wa ufuta waliofanya udanganyifu msimu wa ununuzi uliopita kwa kuchanganya ufuta na mchanga, kwani umesababisha doa kwenye soko hivyo kwasasa mfumo utakaotumika ni wa stakabadhi ghalani ,ambao utadhibiti udanganyifu na kuinua pato la mkulima.
Aidha minada ya ununuzi wa ufuta mwaka huu yatafanyika kupitia mfumo huo na kwa njia ya kielektroniki kupitia soko la bidhaa Tanzania (TMX).
Akifungua kikao cha kujadili maandalizi ya msimu wa...
5 years ago
MichuziWAZIRI HASUNGA ATANGAZA MAZAO YATAKAYOUZWA KWENYE MFUMO WA STAKABADHI GHALANI I
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akitangaza msimamo wa serikali kuhusu Mazao yatakayouzwa kwa mfumo wa Stakabadhi Ghalani ofisini kwake Jijini Dodoma juzi tarehe 30 Mei 2020. (Picha Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Serikali imetangaza rasmi mazao ya kuanzia yatakayouzwa kupitia mfumo maalumu wa uuzaji wa mazao wa Stakabadhi ghalani.
Mazao hayo ni pamoja na zao la Korosho ambalo limekuwa na mafanikio makubwa kupitia...