Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muswada wa vyombo vya habari waja

SERIKALI imeweka bayana kwamba itafikisha bungeni Muswada wa Sheria ya Kusimamia Vyombo vya Habari katika Bunge lijalo la kutunga sheria. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara alisema hayo bungeni jana wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka ujao wa fedha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Muswada wa Vyombo vya Habari kuwasilishwa

MKUTANO wa 19 wa Bunge unatarajiwa kuendelea leo mjini Dodoma, ambapo mambo mbalimbali yatajadiliwa ukiwemo, Muswada wa Sheria ya Vyombo vya Habari wa mwaka 2015 na Muswada wa Sheria ya Kupata Habari wa mwaka 2015.

 

10 years ago

Habarileo

Muswada wa Vyombo vya Habari mwakani

MUSWADA wa Sheria wa Uendeshaji wa Vyombo vya Habari, umekamilika na utawasilishwa bungeni katika kikao cha Bunge cha Februari mwakani, Bunge limeelezwa.

 

10 years ago

Habarileo

Spika azungumzia muswada wa vyombo vya habari

Spika wa Bunge, Anne Makinda.SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amekanusha taarifa kuwa Muswada wa Sheria ya Vyombo vya Habari wa mwaka 2015, unaotarajiwa kuwasilishwa bungeni hapo katika mkutano wa 19, unaoendelea, utawasilishwa kwa hati ya dharura.

 

11 years ago

Habarileo

Muswada wa vyombo vya habari kufikishwa bungeni

Juma NkamiaMUSWADA wa Sheria ya Kusimamia Vyombo vya Habari umekamilika baada ya kupitia hatua zote muhimu na unatarajia kufikishwa bungeni wakati wowote mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Muswada wa kubana vyombo vya habari waondoshwa

SERIKALI imeuondoa bungeni Muswada wa Sheria ya Takwimu wa Mwaka 2013, uliowasilishwa jana ambapo pamoja na mambo mengine ulikuwa unavibana vyombo vya habari kuripoti takwimu ambazo hazijatolewa na serikali au wakala wake.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wamiliki wa vyombo vya Habari nchini MOAT wapinga mswada wa sheria ya Vyombo vya Habari

Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Sahara Comminication, Samuel Nyalla (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Saed Kubenea kutoka Mwanahalisi Publishers na Mwanasheria, Godfrey...

 

10 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI

Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilal akihutubia wakati akifungua mkutano huo. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaban Lila (kulia) na  Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jaji mstaafu Thomas Mihayo wakifuatilia mkutano huo. …

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani