Muswada wa Vyombo vya Habari kuwasilishwa
MKUTANO wa 19 wa Bunge unatarajiwa kuendelea leo mjini Dodoma, ambapo mambo mbalimbali yatajadiliwa ukiwemo, Muswada wa Sheria ya Vyombo vya Habari wa mwaka 2015 na Muswada wa Sheria ya Kupata Habari wa mwaka 2015.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo08 Nov
Muswada wa Vyombo vya Habari mwakani
MUSWADA wa Sheria wa Uendeshaji wa Vyombo vya Habari, umekamilika na utawasilishwa bungeni katika kikao cha Bunge cha Februari mwakani, Bunge limeelezwa.
11 years ago
Habarileo30 May
Muswada wa vyombo vya habari waja
SERIKALI imeweka bayana kwamba itafikisha bungeni Muswada wa Sheria ya Kusimamia Vyombo vya Habari katika Bunge lijalo la kutunga sheria. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara alisema hayo bungeni jana wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka ujao wa fedha.
10 years ago
Mtanzania17 Mar
Muswada wa habari kuwasilishwa bungeni
Na Debora Sanja, Dodoma
HATIMAYE Muswada wa Sheria ya kupata Habari na Muswada wa Sheria ya Vyombo vya Habari ya Mwaka 2015, inatarajiwa kuwasilishwa bungeni katika mkutano wa 19 wa Bunge unaoanza leo mjini hapa.
Miswada hiyo inatarajiwa kuwasilishwa kwa hati ya dharura na inakusudiwa kupitishwa na Bunge katika hatua zake zote.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa mjini hapa jan,a mbali na miswada hiyo kuwasilishwa, pia miswada mingine minne inatarajiwa kuwasilishwa kwa hati ya dharura.
“Miswada...
10 years ago
Habarileo13 Nov
Muswada wa kubana vyombo vya habari waondoshwa
SERIKALI imeuondoa bungeni Muswada wa Sheria ya Takwimu wa Mwaka 2013, uliowasilishwa jana ambapo pamoja na mambo mengine ulikuwa unavibana vyombo vya habari kuripoti takwimu ambazo hazijatolewa na serikali au wakala wake.
10 years ago
Habarileo19 Mar
Spika azungumzia muswada wa vyombo vya habari
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amekanusha taarifa kuwa Muswada wa Sheria ya Vyombo vya Habari wa mwaka 2015, unaotarajiwa kuwasilishwa bungeni hapo katika mkutano wa 19, unaoendelea, utawasilishwa kwa hati ya dharura.
11 years ago
Habarileo24 May
Muswada wa vyombo vya habari kufikishwa bungeni
MUSWADA wa Sheria ya Kusimamia Vyombo vya Habari umekamilika baada ya kupitia hatua zote muhimu na unatarajia kufikishwa bungeni wakati wowote mwaka huu.
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/yXgpAtYh824/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
10 years ago
Dewji Blog26 May
Wamiliki wa vyombo vya Habari nchini MOAT wapinga mswada wa sheria ya Vyombo vya Habari
Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.