Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvua yaleta maafa, yaezua nyumba 83 Meatu

>Kaya 83 zimeezuliwa kutokana na mvua ya mawe iliyoambatana na upepo mkali, huku  takriban ekari 15 za mazao mbalimbali zikiharibiwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mvua yaua, yaezua nyumba 62

Nyumba 62 zilizopo katika Vijiji vya Wilaya ya Kilindi, zimeezuliwa na nyingine kubomoka kutokana na mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kunyesha kwenye maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Tanga.

 

11 years ago

Habarileo

Mvua yaua mmoja, yaezua nyumba 85

MVUA zimeleta maafa mkoani Kilimanjaro baada ya mtu mmoja kufariki dunia sanjari na nyumba zaidi ya 85 kuezuliwa mapaa. Mkuu wa Wilaya ya Hai, Novatus Makunga, alisema kaya takribani 85 zimekosa makazi. Aidha wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kibohehe, na Shule ya Msingi Kishare wamekosa pa kusomea kutokana na baadhi ya madarasa kuezuliwa mapaa kwa upepo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua yaleta maafa

Mvua kubwa iliyonyesha juzi katika Kijiji cha Kasense, imesababisha hasara ya Sh88 milioni, baada ya kuharibu nyumba mbalimbali zikiwamo za wanakijiji, taasisi na nyumba za ibada, likiwapo Kanisa Katoliki.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mvua yaleta maafa Lugoba

MVUA iliyoambata na upepo mkali iliyonyesha hivi karibuni imeezua nyumba zaidi ya 150, huku kati ya hizo kuta zake zikiwa zimeanguka na kuwafanya wahanga wa tukio hilo kutafuta msaada wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mvua yaleta maafa Msumbiji

Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Msumbiji zimesababisha maafa makubwa ambapo watu kadhaa wamefariki na wengine kupoteza makazi yao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mvua yaleta maafa Angola

Watu 60 wakiwemo watoto 35 wamefariki dunia kufuatia mvua nyingi iliyonyesha nchini Angola.

 

10 years ago

GPL

MVUA YALETA MAAFA MAKUBWA WILAYANI KAHAMA, SHINYANGA

Watu 35 wamefariki dunia na wengine 55 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na nyumba zao kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha usiku wa kuamkia leo, kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga. (CHANZO: RADIO1 STEREO)

 

9 years ago

Mwananchi

Mvua yaleta maafa Tanga, yanyesha kwa saa nne mfululizo

Mvua zilizonyesha kwa saa nne mfululizo  jijini Tanga zimesababisha kuongezeka kwa maeneo yaliyoathirika na mafuriko huku baadhi ya nyumba zikibomoka na idadi ya waliolazimika kuhama makazi ikiongezeka.

 

10 years ago

Michuzi

News alert:mvua za masika zasababisha maafa, uharibifu wa nyumba na miundombinu leo

Na Abdulla Ali wa Maelezo, Zanzibar                                        

Mvua za masika zinazoendelea kunyesha Visiwani Zanzibar zimesababisha hasara kubwa ikiwemo upotevu mali na mifugo, uharibifu wa miundombinu pamoja na kusababisha vifo vya watu. Hadi sasa watu wawili  ambao ni Nd. Juma Hamad (25) mkaazi wa Mwanakwerekwe na mtoto mmoja  mkaazi wa Kinuni anaekisiwa kuwa na miaka 8 wamepoteza maisha. Wote wawili ni kutoka Wilaya ya Magharibi Unguja.Hayo yamweelezwa na Waziri wa Nchi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani