Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Mvua zinazonyesha ni mabadiliko ya hali ya hewa’

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua zilizonyesha kuanzia alfajiri ya jana zinatokana na mabadiliko ya hali ya hewa baharini na zinatarajia kuendelea leo katika maeneo yote ya pwani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza (UK Met Office) wamesaini mkataba wa makubaliano ya uboreshaji huduma za hali ya hewa hapa nchini. Mkataba huo umesainiwa tarehe 11 Novemba, 2014 wakati wa kikao cha masuala ya hali ya hewa (IBCS) kilichofanyika mjini Geneva Uswiss.
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI

Dr. Agnes Kijazi, TMA Director General and Permanent Representative of Tanzania with the World Meteorological Organization (WMO) and Dr. Rob Varley, the UK Met Office Chief Executive Officer and Permanent Representative of UK with WMO signed a memorandum of understanding for a joint project in support of Climate Service Development in Tanzania. The signing ceremony was witnessed by Dr. Ladislaus Chang’a, TMA Director of Research and Applied Meteorology and Ms. Jane Wardley from the UK Met...

 

11 years ago

Habarileo

'Badilikeni kukabili mabadiliko ya hali ya hewa'

VIJANA nchini wametakiwa kubadilika na kuchukua hatua za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa katika kizazi hiki ili kizazi kinachokuja waweze kufaidi dunia yenye mazingira bora.

 

11 years ago

Mwananchi

Hali ya Hewa yatabiri mvua za maafa pwani

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetabiri kuwa mvua kubwa zitanyesha hasa maeneo ya ukanda wa pwani huku ikitahadharisha uwezekano mkubwa kusababisha maafa.

 

10 years ago

Habarileo

Mabadiliko ya hali ya hewa changamoto kwa TMA

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agnes Kijazi amesema mabadiliko ya mifumo ya hali ya hewa ambayo yanatokana na mabadiliko ya tabia nchi yamekuwa changamoto kubwa kwa wataalamu wa hali ya hewa nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Hali ya Hewa waonya uwapo wa kimbunga kitakachosababisha mvua kubwa

>Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetahadharisha juu ya kuwapo kwa kimbunga kiitwacho Hellen katika mwambao wa Bahari ya Hindi ambacho kitasababisha mvua kubwa inayozidi mililita 50 ndani ya saa 24 kuanzia jana katika mikoa 14.

 

11 years ago

Michuzi

JUST IN: UPOTOSHWAJI WA TAHADHARI YA HALI YA HEWA KUHUSIANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini inapenda kukanusha kuhusiana na taarifa ya ujumbe mfupi wa simu na katika mitandao ya kijamii wenye maneno yafuatayo : ‘TMA warning heavy rains of strong easterly winds 100km an hour expected to hit Dar coast from Somalia, Heavy rains 120mm above sea level expected today and tommorrow. People must avoid Sea and areas near to Sea should be alert cautioned. Tanzania Meteorological Agency  www.tma.gov.tz’   
Mamlaka inapenda kuutaarifu umma kuwa taarifa hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani