Mvutano waibuka ada elekezi shule binafsi
Maandalizi ya upangaji wa ada elekezi kwa shule binafsi nchini yameibua mvutano kati ya Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi na Chama cha Wamiliki wa Shule na Vyuo Binafsi (Tamongsco) baada ya kulalamikia kutopewa nafasi ya ushiriki katika hatua za awali.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi15 Dec
Mvutano ada elekezi shule binafsi kwa faida ya nani?
9 years ago
Habarileo16 Nov
Ada elekezi shule binafsi Januari
ADA elekezi kwa shule za msingi za binafsi zitaanza kufanyiwa majaribio katika baadhi ya mikoa mwezi Januari mwakani, gazeti hili limeelezwa. Hatua hiyo inakuja kutokana na juhudi zinazoendelea kufanywa na Serikali kwa kuhakikisha wataalamu wa masuala ya elimu wanakamilisha kazi ya ukokotoaji wa ada hiyo ili majaribio yake yaanze katika baadhi ya maeneo hapa nchini ifikapo Januari.
9 years ago
Habarileo21 Dec
Ada elekezi shule binafsi tayari
TUME ya wataalamu waliokuwa wanakusanya maoni ya wadau wa elimu na kukokotoa ada elekezi kwa shule za msingi na sekondari zisizo za Serikali, wamemaliza kazi yao na tayari wamekabidhi ripoti hiyo kwa Serikali.
9 years ago
Mwananchi01 Jan
Ada elekezi kufunga shule binafsi
9 years ago
Habarileo03 Dec
Ada elekezi kwa shule binafsi Desemba 15
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imewataka wazazi na walezi wenye wanafunzi wanaotegemea kuanza masomo au kuendelea na masomo katika shule binafsi mapema Januari mwezi ujao, kuvuta subira hadi Desemba 15, mwaka huu serikali itakapotoa maelekezo mbalimbali ikiwemo suala la ada elekezi.
11 years ago
Habarileo14 Mar
Serikali kutaja bei elekezi ada shule za msingi
KILIO cha siku nyingi cha wazazi kuhusu ada za shule za msingi na sekondari, kimesikika na hivi karibuni Serikali itakuja na jibu la kudhibiti ada hizo. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, amesema hayo jana wakati alipozindua mfumo wa ada elekezi kwa vyuo vya elimu ya juu nchini. Amesema kwa sasa Serikali iko katika mchakato wa kuja na bei elekezi ya ada kwa ajili ya shule za msingi na sekondari.
9 years ago
Habarileo04 Dec
Marufuku shule za binafsi kuongeza ada
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imepiga marufuku shule binafsi kuongeza gharama za uendeshaji wa shule, zikiwemo ada kwa mwaka wa masomo unaoanzia mwezi Januari mwaka ujao mpaka watakapopata maelekezo kutoka kwa Kamishna wa Elimu nchini.
9 years ago
Mtanzania04 Dec
Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
SERIKALI imepiga marufuku wamiliki wa shule binafsi kupandisha ada kuanzia Januari mwakani.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya Serikali kutoa tamko la kufuta ada na michango mbalimbali kwa shule zake za msingi na sekondari.
Taarifa ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, profesa Sifuni Mchome, imepiga marufuku shule hizo kuongeza ada kwa mwaka wa masomo unaoanzia Januari 2016 hadi hapo...
10 years ago
Habarileo03 Jun
Kero ya ada shule binafsi zatafutiwa tiba
SERIKALI imetangaza kumpata Mtaalamu Mwelekezi, ambaye ameanza kazi jana kuangalia suala la ada elekezi katika shule binafsi nchini.