Serikali kutaja bei elekezi ada shule za msingi
KILIO cha siku nyingi cha wazazi kuhusu ada za shule za msingi na sekondari, kimesikika na hivi karibuni Serikali itakuja na jibu la kudhibiti ada hizo. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, amesema hayo jana wakati alipozindua mfumo wa ada elekezi kwa vyuo vya elimu ya juu nchini. Amesema kwa sasa Serikali iko katika mchakato wa kuja na bei elekezi ya ada kwa ajili ya shule za msingi na sekondari.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 Jul
ELIMU: Wadau wapinga bei elekezi ada za vyuo
9 years ago
Mwananchi01 Jan
Ada elekezi kufunga shule binafsi
9 years ago
Habarileo21 Dec
Ada elekezi shule binafsi tayari
TUME ya wataalamu waliokuwa wanakusanya maoni ya wadau wa elimu na kukokotoa ada elekezi kwa shule za msingi na sekondari zisizo za Serikali, wamemaliza kazi yao na tayari wamekabidhi ripoti hiyo kwa Serikali.
9 years ago
Habarileo16 Nov
Ada elekezi shule binafsi Januari
ADA elekezi kwa shule za msingi za binafsi zitaanza kufanyiwa majaribio katika baadhi ya mikoa mwezi Januari mwakani, gazeti hili limeelezwa. Hatua hiyo inakuja kutokana na juhudi zinazoendelea kufanywa na Serikali kwa kuhakikisha wataalamu wa masuala ya elimu wanakamilisha kazi ya ukokotoaji wa ada hiyo ili majaribio yake yaanze katika baadhi ya maeneo hapa nchini ifikapo Januari.
9 years ago
Mwananchi15 Dec
Mvutano waibuka ada elekezi shule binafsi
9 years ago
Habarileo03 Dec
Ada elekezi kwa shule binafsi Desemba 15
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imewataka wazazi na walezi wenye wanafunzi wanaotegemea kuanza masomo au kuendelea na masomo katika shule binafsi mapema Januari mwezi ujao, kuvuta subira hadi Desemba 15, mwaka huu serikali itakapotoa maelekezo mbalimbali ikiwemo suala la ada elekezi.
9 years ago
Mwananchi15 Dec
Mvutano ada elekezi shule binafsi kwa faida ya nani?
5 years ago
MichuziSERIKALI YATANGAZA BEI ELEKEZI YA CHANJO 13 ZA MAGONJWA YA MIFUGO
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA), Profesa Amandus Muhairwa baada ya kuiziduia bodi hiyo na kupokea taarifa ya kutangazwa kwa bei elekezi ya Chanjo Makao Makuu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mtumba jijini Dodoma
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Serikali yashauriwa kufuta ada shule za kata
KAIMU Ofisa wa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Pwani, Dismas Chuwalo, ameishauri serikali kufuta ada ya shule za sekondari za Kata ili wahitimu wote wanaochaguliwa waweze kujiunga na shule hizo....