ELIMU: Wadau wapinga bei elekezi ada za vyuo
>Wakati Serikali ikiendelea kutafuta ‘mwarobaini’ wa kushuka kwa elimu, wadau mbalimbali wameitaka kuachana na mpango wa kupanga bei elekezi kwenye ada za shule na vyuo nchini kwa kuwa hilo siyo suluhisho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Mbunge ataka ada elekezi vyuo vikuu
MBUNGE wa Tabora Mjini, Ismail Aden Rage (CCM), ameitaka serikali kufuatilia ada kwenye vyuo vikuu binafsi kutokana na kutoza ada kubwa. Rage alisema hayo alipouliza swali bungeni jana. Akijibu swali...
11 years ago
Habarileo14 Mar
Serikali kutaja bei elekezi ada shule za msingi
KILIO cha siku nyingi cha wazazi kuhusu ada za shule za msingi na sekondari, kimesikika na hivi karibuni Serikali itakuja na jibu la kudhibiti ada hizo. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, amesema hayo jana wakati alipozindua mfumo wa ada elekezi kwa vyuo vya elimu ya juu nchini. Amesema kwa sasa Serikali iko katika mchakato wa kuja na bei elekezi ya ada kwa ajili ya shule za msingi na sekondari.
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Wadau wapinga bei mpya za umeme
9 years ago
Habarileo16 Nov
Ada elekezi shule binafsi Januari
ADA elekezi kwa shule za msingi za binafsi zitaanza kufanyiwa majaribio katika baadhi ya mikoa mwezi Januari mwakani, gazeti hili limeelezwa. Hatua hiyo inakuja kutokana na juhudi zinazoendelea kufanywa na Serikali kwa kuhakikisha wataalamu wa masuala ya elimu wanakamilisha kazi ya ukokotoaji wa ada hiyo ili majaribio yake yaanze katika baadhi ya maeneo hapa nchini ifikapo Januari.
9 years ago
Habarileo21 Dec
Ada elekezi shule binafsi tayari
TUME ya wataalamu waliokuwa wanakusanya maoni ya wadau wa elimu na kukokotoa ada elekezi kwa shule za msingi na sekondari zisizo za Serikali, wamemaliza kazi yao na tayari wamekabidhi ripoti hiyo kwa Serikali.
9 years ago
Mwananchi01 Jan
Ada elekezi kufunga shule binafsi
11 years ago
Uhuru NewspaperAda elekezi sasa kupangwa vyuoni
SERIKALI imeanza kufanya utafiti wa kina kwa kushirikisha wadau mbalimbali ili kuweza kupanga ada elekezi kwa programu zote zinazofundishwa katika vyuo vikuu nchini.
Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenister Mhagama, alipokuwa...
9 years ago
Mwananchi15 Dec
Mvutano waibuka ada elekezi shule binafsi
9 years ago
Habarileo03 Dec
Ada elekezi kwa shule binafsi Desemba 15
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imewataka wazazi na walezi wenye wanafunzi wanaotegemea kuanza masomo au kuendelea na masomo katika shule binafsi mapema Januari mwezi ujao, kuvuta subira hadi Desemba 15, mwaka huu serikali itakapotoa maelekezo mbalimbali ikiwemo suala la ada elekezi.