Wadau wapinga bei mpya za umeme
Baadhi ya wachumi na wadau mbalimbali wa nishati ya umeme wameikosoa hatua ya Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco) baada ya kuongeza gharama za umeme kwa maelezo kuwa hatua hiyo itamkandamiza mwananchi wa kawaida.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 Jul
ELIMU: Wadau wapinga bei elekezi ada za vyuo
11 years ago
Habarileo14 Feb
'Bei mpya ya umeme chanzo cha ugumu wa maisha'
WAKAZI wa Mji wa Sumbawanga wamelalamikia bei mpya ya umeme kwamba imechangia ugumu wa maisha kwao kutokana na vitu vingi kupanda gharama.
10 years ago
Habarileo17 Sep
Bei ya umeme kushuka
SERIKALI imesema inatarajia kuondoa mitambo yote inayotumia mafuta katika kuzalisha umeme ifikapo Januari mwakani. Hali hiyo itaokoa Sh trilioni 1.6 kwa mwaka, lakini pia kuwapa Watanzania umeme wa uhakika na wa gharama nafuu.
11 years ago
Habarileo24 Dec
Bei ya umeme juu
WATANZANIA wataanza Mwaka Mpya 2014 kwa maumivu, baada ya Shirika la Umeme (TANESCO) kuidhinishiwa kupandisha bei za umeme kuanzia Januari mosi.
10 years ago
Habarileo12 Feb
Umeme kushuka bei
BAADA ya kushuka kwa bei ya mafuta nchini, wakati wowote kuanzia leo Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) linatarajiwa kutangaza bei mpya za umeme ambazo zitakuwa na unafuu kwa wananchi.
10 years ago
Habarileo14 Feb
Umeme washuka bei
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imeshusha kidogo bei ya umeme kuanzia Machi Mosi mwaka huu, huku ikisisitiza kwamba bei hiyo itaendelea kupungua zaidi mradi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam utakapoanza kazi.
10 years ago
Mtanzania14 Feb
Bei ya umeme yashuka
Jonas Mushi na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushusha bei ya nishati ya umeme kwa watumiaji wakubwa wa majumbani wanaotumia zaidi ya uniti 75 kwa mwezi pamoja na viwanda vikubwa na vya kati.
Tangazo la kushushwa kwa bei ya nishati ya umeme limetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Felex Ngamlagosi, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyikia jana ofisini kwake, Dar es Salaam.
Alisema punguzo hilo limezingatia gharama za...
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Tanesco yapandisha bei ya umeme
10 years ago
Habarileo05 Jan
IPTL yashusha bei ya umeme
KAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ikiwa chini ya uongozi wa Kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP), imetangaza kupunguza bei ya umeme kwa asilimia 20 baada ya kufanya marekebisho makubwa ya injini za mtambo.