Bei ya umeme yashuka
Jonas Mushi na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushusha bei ya nishati ya umeme kwa watumiaji wakubwa wa majumbani wanaotumia zaidi ya uniti 75 kwa mwezi pamoja na viwanda vikubwa na vya kati.
Tangazo la kushushwa kwa bei ya nishati ya umeme limetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Felex Ngamlagosi, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyikia jana ofisini kwake, Dar es Salaam.
Alisema punguzo hilo limezingatia gharama za...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo14 Feb
Bei ya umeme yashuka kwa Sh8
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2623480/highRes/945486/-/maxw/600/-/vw8a3a/-/umeme_clip.jpg)
Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imeliagiza Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kupunguza bei za umeme kwa Sh8 kuanzia Machi Mosi mwaka huu.Akitoa agizo hilo jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Felix Ngamlagosi alisema kutokana na...
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Bei ya petroli, dizeli yashuka
10 years ago
BBCSwahili10 Jan
10 years ago
Mwananchi04 Mar
Bei ya petroli yashuka tena
10 years ago
BBCSwahili04 Feb
Bei ya Mafuta yashuka zaidi Tanzania
10 years ago
Habarileo14 Feb
Umeme washuka bei
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imeshusha kidogo bei ya umeme kuanzia Machi Mosi mwaka huu, huku ikisisitiza kwamba bei hiyo itaendelea kupungua zaidi mradi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam utakapoanza kazi.
10 years ago
Habarileo17 Sep
Bei ya umeme kushuka
SERIKALI imesema inatarajia kuondoa mitambo yote inayotumia mafuta katika kuzalisha umeme ifikapo Januari mwakani. Hali hiyo itaokoa Sh trilioni 1.6 kwa mwaka, lakini pia kuwapa Watanzania umeme wa uhakika na wa gharama nafuu.
11 years ago
Habarileo24 Dec
Bei ya umeme juu
WATANZANIA wataanza Mwaka Mpya 2014 kwa maumivu, baada ya Shirika la Umeme (TANESCO) kuidhinishiwa kupandisha bei za umeme kuanzia Januari mosi.
10 years ago
Habarileo12 Feb
Umeme kushuka bei
BAADA ya kushuka kwa bei ya mafuta nchini, wakati wowote kuanzia leo Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) linatarajiwa kutangaza bei mpya za umeme ambazo zitakuwa na unafuu kwa wananchi.