Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwaka unakatika....Tumesonga mbele ama nyuma???

 Amani, Heshima na Upendo kwa wana-blog wote.
Kwanza namshukuru MUNGU kwa baraka ya uhai ambayo mimi nawe tunayo mpaka sasa.
Pili nikupe pole kwa harakati za maisha ambazo sote twazipitia kufanikisha yale mema tupendayo. Ni harakati kubwa sana hasa katika kusonga na maisha yetu ya kila siku na pia kuendeleza gurudumu hili la blogs
Nimekuwa nikituma makala, vipindi na kazi zangu kwenu nanyi mmekuwa wakarimu sana kuzipokea. Ushirikiano ambao umenifanya nizidi kujivunia kuwa mmoja wa bloga
Lakini...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SALAM ZA MDAU MUBELWA BANDIO: Mwaka unakatika....Tumesonga mbele ama tumerudi nyuma???

 Amani, Heshima na Upendo kwa wana-blog wote.Kwanza namshukuru MUNGU kwa baraka ya uhai ambayo mimi nawe tunayo mpaka sasa. Pili nikupe pole kwa harakati za maisha ambazo sote twazipitia kufanikisha yale mema tupendayo.
Ni harakati kubwa sana hasa katika kusonga na maisha yetu ya kila siku na pia kuendeleza gurudumu hili la blogsNimekuwa nikituma makala, vipindi na kazi zangu kwenu nanyi mmekuwa wakarimu sana kuzipokea. Ushirikiano ambao umenifanya nizidi kujivunia kuwa mmoja wa blogaLakini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK hatua moja mbele, nne nyuma

NIMEFUATILIA kwa makini sinema za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mchakato mzima wa kuandikwa kwa katiba mpya, na sasa nimetanzika akili nataka kufahamu kama ndiyo kinamchezea Rais Jakaya Kikwete au...

 

11 years ago

Mwananchi

Tunarudishwa nyuma badala ya kwenda mbele

Hivi karibuni, iliibuka hoja na kashfa nzito kwa mawaziri kubebeshwa jina la mizigo. Baadhi ya wanasiasa wakapita huku na kule wakiwananga wenzao kuwa wamekua mizigo kiasi cha kushindwa kusukuma gurudumu la kuwatumikia wananchi vyema. Watu wakapendekeza wawajibishwe wengine wakiomba wajiuzulu wenyewe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani