Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwakilishi Mkazi wa UNDP atembelea Wizara ya Mambo ya Nje

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Celestine Mushy akimkabidhi kitabu kinachozungumzia Hifadhi za Taifa zilizopo nchini Tanzania Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchni, Bwa. Alvaro Rodriguez alipomtembelea ofisini kwake Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Celestine Mushy akimwelezea Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MUUNGANO WA VISIWA VYA COMORO ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA MATAIFA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb),akimkaribisha Wizarani Waziri wa Mambo ya Nje wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe El-Anrif Said Hassane kwa mazungumzo ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Comoro.Balozi wa Comoro hapa Nchini Mhe.Dr.Ahamada El Badaoui Mohamed(kushoto)akisalimiana na Naibu Waziri Dkt.Mahadhi huku Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro Mhe.El-Anrif Said Hassane(katikati) akishuhudia.Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na...

 

9 years ago

Michuzi

UNDP YATOA MSAADA KWA WIZARA YA MAMBO YA NJE

Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa, Bw. Alvaro Rodrigues (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy msaada wa Vifaa vya mawasiliano (Cameras, printers na Computers) kwa ajili ya kitengo cha Mawasiliano ya Serikali cha Wizara ya Mambo ya Nje.
Mazungumzo yakiendelea....

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini ataka wananchi wa vijijini wasaidiwe kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi

IMG_4025

Mratibu  wa  mradi  wa  kudhibiti  wanyama  wakali  kwa kutumia   waya  na   mitii  maalumu  inayohimili  ukame  unaofadhiliwa na UNDP  Dr. Maurus  Msuha akitoa maelezo kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kulia) alipotembelea miradi mbalimbali inayofadhiliwa na shirika la UNDP  wilayani Longido  mkoani  Arusha  katika  ziara  yake  ya  siku mbili mara baada ya kuwasili wilayani humo....

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI WA UHOLANZI ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb) kulia akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Mhe. Jaap Fredriks ofisini kwake leo. Mazungumzo hayo yalihusu kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Uholanzi.Mazungumzo kati ya Mhe. Naibu Waziri na Mhe. Balozi yanaendelea. Wengine katika picha, kutoka kulia ni Bw. Adam Issara, Anthony Mutafya na Bi. Zulekha Tambwe ambao ni maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na...

 

10 years ago

Vijimambo

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje akutana na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha (mwenye tai) akisalimiana na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Luigi Scotto alipotembelea Wizarani leo.Balozi Gamaha akisalimiana na Kansela Raffaele De Benedictis kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia ambaye alifuatana na Balozi Scotto walipotembelea Wizara ya Mambo ya Nje leo. Balozi wa Italia (katikati) akimtambulisha Kansela Benedictis kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia kwa Kaimu...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha atembelea Wizara ya Mambo ya Nje

Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Irene Kasyanju (kulia) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Filex Daud Ntibenda, walipo kutana ofisini kwa Balozi leo. Wawili hao walijadili maendeleo ya ujenzi wa miundombinu katika eneo la lakilaki jijini Arusha ambalo limetengwa kwa ajili ya ujenzi wa Taasisi za Kimataifa. Wakwanza kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Balozi Hassan Simba Yahaya akifuatilia mazungumzo. Mkurugenzi...

 

11 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje atembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bw. John Haule (kulia anayeangalia nyaraka) akipata taarifa kutoka kwa Bw. Gration Kamugisha, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kitengo cha Miradi Hazina (U.T.T) kuhusu mikakati ya kuboresha nyumba zinazomilikiwa na Ubalozi, Lusaka- Zambia kwa kuingia ubiya na UTT, kulia kwa Bw. Haule ni Katibu Mkuu wa Hazina, Bw. Servacius Likwelile wa kwanza kushoto akisikiliza. Kikao hiki kilifanyika Ofisini kwa Balozi wa Tanzania nchini Zambia,...

 

11 years ago

Michuzi

Mkurugenzi wa Idara ya Habari atembelea Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali Wizara ya Mambo ya Nje

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Bw. Assah Mwambene akizungumza na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali cha Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Mkumbwa Ally alipotembelea Kitengo hicho kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali zinazofanyika.Bw. Mwambene akiangalia moja ya machapisho aliyopatiwa na Bw. Mkumbwa kuhusu Wizara.Picha na Reginald Philip

 

11 years ago

Michuzi

KAIMU MWAKILISHI MKAZI WA UNFPA ATEMBELEA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO

Kaimu Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Masuala ya Idadi ya Watu (UNFPA), Bibi Mariam Khan leo alitembelea Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango na kutoa wito kwa serikali kufanya hima katika kukabiliana na changamoto za ongezeko la idadi ya watu na ukuaji wa mijini nchini Tanzania.
Hata hivyo, Bibi Khan alisema kuwa licha ya kuwa ongezeko la idadi ya watu linaathari mbalimbali kama lisipothibiwa, Tanzania inaweza kutuma fursa hiyo kwa kuwekeza kwa vijana kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani