Mwana wa Whitney Houston apoteza fahamu
Mwana wa gwiji wa muziki marehemu Whitney Houston Bobbi Kristina jumamosi alipatikana akiwa amezirai nyumbani kwake
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo27 Jul
Whitney Houston's Daughter Bobbi Kristina Dead at 22
Whitney Houston and Bobby Brown's daughter Bobbi Kristina has died at the age of 22.
She passed away outside Atlanta in the hospice care facility where she's been since June 24 ... when her family decided to take her off all meds. As we first reported, a specialist had told them there was no chance of recovery. Bobbi Kristina was found submerged in her bathtub on January 31, and police believe she was underwater for anywhere between 2 and 5 minutes. Paramedics were able to resuscitate her,...
She passed away outside Atlanta in the hospice care facility where she's been since June 24 ... when her family decided to take her off all meds. As we first reported, a specialist had told them there was no chance of recovery. Bobbi Kristina was found submerged in her bathtub on January 31, and police believe she was underwater for anywhere between 2 and 5 minutes. Paramedics were able to resuscitate her,...
10 years ago
GPLBALAA LA KRISMASIMREMBO APOTEZA FAHAMU
Mwanamke(Jenipher ) ayeanayedaiwa kujiuza akiwa hoi hajitambui. MSICHANA mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Jenipher, anayedaiwa kujiuza katika maeneo ya Shivaz na Kaloleni jijini hapa, amekutwa akiwa amepoteza fahamu kando ya barabara, katika harakati za kujipatia chochote kipindi hiki cha sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya. Akiwa pembeni ya barabara, Jenipher anayeelezwa kuwa maarufu mjini hapa, anadaiwa kuwa siku hiyo...
10 years ago
GPLAPOTEZA FAHAMU KWA MIEZI MIWILI
JOSEPH Matitu anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 50Â ambaye hajajulikana kuwa ni mkazi wa wapi, ameokotwa na wasamaria wema Machi 13, mwaka huu baada ya kudondoka ghafla na kupoteza fahamu. Joseph Matitu anayedaiwa kupoteza fahamu kwa miezi miwili, akiendelea kupata matibabu.
Kwa mujibu wa mtoa habari wetu, Matitu aliokotwa Kibaha, mkoani Pwani baada ya watu kumuona akiwa amelala chini, wakahisi alikuwa amefariki dunia....
10 years ago
GPLKiungo Yanga apoteza fahamu uwanjani
Kiungo mkabaji wa Yanga, Said Juma Makapu akitolewa uwanjani baada ya kuanguka na kupoteza fahamu.
Nassor Gallu,Tanga
FURAHA ya wachezaji wa Yanga juu ya ushindi wao dhidi ya Mgambo JKT ilizimika ghafla baada ya kiungo mkabaji wa timu hiyo, Said Juma Makapu kuanguka na ‘kuzimia’ akiwa uwanjani.Katika mchezo huo ambao Yanga walipata ushindi wa mabao 2-0 yaliyofungwa na Amissi Tambwe na Simon Msuva, kiungo huyo...
10 years ago
VijimamboBOBBI KRISTINA AMBAYE NI MTOTO WA WHITNEY HOUSTON AFARIKI DUNIA
Bobbi Kristina Brown ,mtoto wa marehemu Whitney Houston ambaye alikuwa gwiji wa muziki wa R&B ,amefariki dunia baada ya kupoteza fahamu kwa muda wa miezi sita tangu alipokutwa taabani kwenye bafu lake na pindi alipofikishwa hospitalini na kukutwa na matatizo kwenye ubongo.Bobbi amekufa akiwa na umri wa miaka 22,huku akivutiwa kuwa muigizaji na muimbaji mahiri na mwenye ubora wa aina yake.Msemaji wa familia Kristen Foster amesema Bobbi amefariki akiwa amezungukwa na familia yake ,''hatimaye...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania