Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALAA LA KRISMASIMREMBO APOTEZA FAHAMU

Mwanamke(Jenipher ) ayeanayedaiwa kujiuza akiwa hoi hajitambui. MSICHANA mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Jenipher, anayedaiwa kujiuza katika maeneo ya Shivaz na Kaloleni jijini hapa, amekutwa akiwa amepoteza fahamu kando ya barabara, katika harakati za kujipatia chochote kipindi hiki cha sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya. Akiwa pembeni ya barabara, Jenipher anayeelezwa kuwa maarufu mjini hapa, anadaiwa kuwa siku hiyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

APOTEZA FAHAMU KWA MIEZI MIWILI

JOSEPH Matitu anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 50  ambaye hajajulikana kuwa ni mkazi wa wapi, ameokotwa na wasamaria wema Machi 13, mwaka huu baada ya kudondoka ghafla na kupoteza fahamu. Joseph Matitu anayedaiwa kupoteza fahamu kwa miezi miwili, akiendelea kupata matibabu.
Kwa mujibu wa mtoa habari wetu, Matitu aliokotwa Kibaha, mkoani Pwani baada ya watu kumuona akiwa amelala chini, wakahisi alikuwa amefariki dunia....

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwana wa Whitney Houston apoteza fahamu

Mwana wa gwiji wa muziki marehemu Whitney Houston Bobbi Kristina jumamosi alipatikana akiwa amezirai nyumbani kwake

 

10 years ago

GPL

Kiungo Yanga apoteza fahamu uwanjani

Kiungo mkabaji wa Yanga, Said Juma Makapu akitolewa uwanjani baada ya kuanguka na kupoteza fahamu.
Nassor Gallu,Tanga
FURAHA ya wachezaji wa Yanga juu ya ushindi wao dhidi ya Mgambo JKT ilizimika ghafla baada ya kiungo mkabaji wa timu hiyo, Said Juma Makapu kuanguka na ‘kuzimia’ akiwa uwanjani.Katika mchezo huo ambao Yanga walipata ushindi wa mabao 2-0 yaliyofungwa na Amissi Tambwe na Simon Msuva, kiungo huyo...

 

10 years ago

GPL

SALMA DAKOTA AVISHWA PETE, APOTEZA FAHAMU

Na hamida hassan
Mtangazaji wa ITV na redio, Salma Dakota hivi karibuni alipoteza fahamu baada ya kufanyiwa ‘sapraizi’ ya kuvishwa pete ya uchumba na mpenzi wake, Gharibu Dumba. Salma Dakota Akionyeshwa pete aliyovishwa. Tukio hilo lilitokea kwenye Hoteli ya Protea iliyopo jijini Dar es Salaam ambapo alikwenda bila kujua kuwa mtu wake huyo alikuwa na jambo kubwa la kumfanyia. Ilielezwa kuwa, Salma akiwa hana hili...

 

9 years ago

Raia Mwema

Magufuli apoteza mwelekeo

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk.

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Mwananchi

Cheka apoteza matumaini

>Bondia Francis ‘SMG’ Cheka amesema hana matumaini ya kuurejesha ubingwa wa Dunia wa WBF aliovuliwa hivi karibuni huku akisisitiza taji hilo ndilo basi tena kurudi Tanzania.

 

11 years ago

GPL

SHAMSA APOTEZA UTULIVU KIKAONI

Stori: Deogratius Mongela
UA zuri kunako anga la sinema Bongo, Shamsa Ford amejikuta akipoteza utulivu kikaoni kufuatia kuinuka na kuzama toileti mara kwa mara. Shamsa Ford. Tukio hilo lilichukua nafasi hivi karibuni kwenye kikao cha mdahalo wa kugombea nafasi za viongozi wapya wa Klabu ya Bongo Movies katika Viwanja vya Leaders Club jijini Dar. Tathmini za paparazi wetu, Shamsa aliyeonekana akipiga mtungi kiaina, zilibaini...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Mfanyakazi apoteza maisha

Mfanyakazi aliyekuwa akitunza Watoto yatima nchini Siera Leone apoteza maisha kutokana na Ebola

 

11 years ago

GPL

Mashabiki wamvamia Okwi apoteza pumzi

Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Na Richard Bukos, Tabora
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Emmanuel Okwi, juzi Jumamosi alikuwa katika wakati mgumu baada ya kuvamiwa na mashabiki wa soka kwenye Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mjini hapa, hali iliyosababisha ashindwe kupumua vizuri.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani