SHAMSA APOTEZA UTULIVU KIKAONI

Stori: Deogratius Mongela UA zuri kunako anga la sinema Bongo, Shamsa Ford amejikuta akipoteza utulivu kikaoni kufuatia kuinuka na kuzama toileti mara kwa mara. Shamsa Ford. Tukio hilo lilichukua nafasi hivi karibuni kwenye kikao cha mdahalo wa kugombea nafasi za viongozi wapya wa Klabu ya Bongo Movies katika Viwanja vya Leaders Club jijini Dar. Tathmini za paparazi wetu, Shamsa aliyeonekana akipiga mtungi kiaina, zilibaini...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies10 Apr
Penzi la Nay na Shamsa la Sababisha Vilio kwa Siwema na Mume wa Shamsa
Penzi la staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford na Staa wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ limeibua tafrani kubwa huku waliokuwa wapenzi wa mastaa hao wakijikuta wakiangua vilio kweupe.
Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa, Mara baada ya wawili hao kutangazwa rasmi kuwa sasa ni mahaba niue huku picha za ushahidi zikimwagwa, aliyekuwa mwandani wa Nay, Siwema a.k.a Wemalicious na aliyekuwa mume wa Shamsa, Dickson ‘Dick’ wanadaiwa kujikuta kwenye hali mbaya kiasi cha kumwaga...
10 years ago
GPL
PENZI LA NAY, SHAMSA SIWEMA, MUME WA SHAMSA VILIO
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
Diwani amkana mtendaji kikaoni
DIWANI wa Ganana katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’, mkoani Manyara, Zakayo Tarmo, amemkana mtendaji wake wa kata na kukataa kusomewa taarifa ya maendeleo akimtuhumu hampi ushirikiano katika utendaji ndani...
11 years ago
Uhuru Newspaper
Viongozi CHADEMA watifuana kikaoni
MBUNGE wa Maswa Magharibi (CHADEMA), John Shibuda, ambaye ametoa notisi ya kuachana na chama hicho, amevurumishiana maneno na mbunge mwenzake, Sylvester Kasulumbayi.

Mvutano huo nusura uvunje kikao hicho, ambapo Mwenyekiti wa Baraza hilo alilazimika kuingilia kati ili kutuliza munkari.
Hali hiyo...
10 years ago
BBCSwahili08 Dec
Mbunge anaswa akicheza kikaoni
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Chenge amtimua Mwingulu kikaoni
MAKOMBORA ya Kamati ya Bajeti yameilazimisha serikali kufyeka sh bilioni 170 kutoka katika matumizi yasiyo ya lazima na kuzipeleka kwenye maeneo yenye tija. Tanzania Daima, imedokezwa kuwa uamuzi huo wa...
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Watumishi Wizara ya Ardhi watimuliwa kikaoni
WATUMISHI kutoka Wizara ya Ardhi na wale wa Halmashauri ya Bagamoyo wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kutimuliwa katika kikao kilichoandaliwa na wakazi wa Kijiji cha Makaani Gama, Kata ya...
10 years ago
Mwananchi17 Jan
Mbunge abwagiwa mtoto kikaoni Dar
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Werema, Sophia Simba nusura wazichape kikaoni