Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge anaswa akicheza kikaoni

Mbunge wa chama tawala cha Conservative nchini Uingereza amekiri kucheza mchezo maarufu kwenye tabiti yake wakati wa kikao cha kamati ya bunge

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbunge abwagiwa mtoto kikaoni Dar

Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Hawa Kundani amezua taharuki kwenye kikao cha Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, baada ya kuvamia ghafla na kupiga kelele akidai kutelekezwa na mumewe ambaye ni Mbunge wa Dimani (CCM) visiwani Zanzibar, Abdallah Sharia Ameir.

 

11 years ago

GPL

SHAMSA APOTEZA UTULIVU KIKAONI

Stori: Deogratius Mongela
UA zuri kunako anga la sinema Bongo, Shamsa Ford amejikuta akipoteza utulivu kikaoni kufuatia kuinuka na kuzama toileti mara kwa mara. Shamsa Ford. Tukio hilo lilichukua nafasi hivi karibuni kwenye kikao cha mdahalo wa kugombea nafasi za viongozi wapya wa Klabu ya Bongo Movies katika Viwanja vya Leaders Club jijini Dar. Tathmini za paparazi wetu, Shamsa aliyeonekana akipiga mtungi kiaina, zilibaini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani amkana mtendaji kikaoni

DIWANI wa Ganana katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’, mkoani Manyara, Zakayo Tarmo, amemkana mtendaji wake wa kata na kukataa kusomewa taarifa ya maendeleo akimtuhumu hampi ushirikiano katika utendaji ndani...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Viongozi CHADEMA watifuana kikaoni

Na Chibura Makorongo, Maswa
MBUNGE wa Maswa Magharibi (CHADEMA), John Shibuda, ambaye ametoa notisi ya kuachana na chama hicho, amevurumishiana maneno na mbunge mwenzake, Sylvester Kasulumbayi.
Shibuda na Kasulumbayi, ambaye ni mbunge wa Maswa Mashariki kupitia CHADEMA, waliingia katika mzozo wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani la Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu.
Mvutano huo nusura uvunje kikao hicho, ambapo Mwenyekiti wa Baraza hilo alilazimika kuingilia kati ili kutuliza munkari.
Hali hiyo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Afariki akicheza mchezo wa video

Mtu moja mwenye umri wa miaka 32 huko Taiwan amefariki baada ya kucheza michezo ya mitandaoni,

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chenge amtimua Mwingulu kikaoni

MAKOMBORA ya Kamati ya Bajeti yameilazimisha serikali kufyeka sh bilioni 170 kutoka katika matumizi yasiyo ya lazima na kuzipeleka kwenye maeneo yenye tija. Tanzania Daima, imedokezwa kuwa uamuzi huo wa...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS NKURUNZIZA AONEKANA AKICHEZA MPIRA

Burundi: rais aonekana akicheza licha ya maandamanoRais Nkurunziza ni kocha aliyehitimuRais Nkurunziza alikuwa akicheza dhidi ya marafiki zakeMechi hiyo ilikuwa mjini BujumburaRais Nkurunziza anatimu yake ''Hallelujah FC ''
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza ameonekana akicheza mpira pamoja na marafiki zake mjini Bujumbura licha ya mgogora wa kisiasa nchini mwake.
Rais Nkurunziza,alikuwa akisakata kabumbu ndani ya mji mkuu wa Bujumbura mji uliokumbwa na maandamano makubwa tangu atangaze nia ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watumishi Wizara ya Ardhi watimuliwa kikaoni

WATUMISHI kutoka Wizara ya Ardhi na wale wa Halmashauri ya Bagamoyo wamejikuta katika  wakati mgumu baada ya kutimuliwa katika kikao kilichoandaliwa na wakazi wa Kijiji cha Makaani Gama, Kata ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Werema, Sophia Simba nusura wazichape kikaoni

>Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba nusura wapigane baada ya kupishana kauli wakati wa mjadala wa ndani ya Kamati Namba Sita inayoongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani