Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi CHADEMA watifuana kikaoni

Na Chibura Makorongo, Maswa
MBUNGE wa Maswa Magharibi (CHADEMA), John Shibuda, ambaye ametoa notisi ya kuachana na chama hicho, amevurumishiana maneno na mbunge mwenzake, Sylvester Kasulumbayi.
Shibuda na Kasulumbayi, ambaye ni mbunge wa Maswa Mashariki kupitia CHADEMA, waliingia katika mzozo wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani la Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu.
Mvutano huo nusura uvunje kikao hicho, ambapo Mwenyekiti wa Baraza hilo alilazimika kuingilia kati ili kutuliza munkari.
Hali hiyo...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Meatu arudi CCM pamoja na viongozi wengine wa Chadema

 Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu Kimwaga Jackson Ndibo akirudisha vitu vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa viongozi wa CCM baada ya kurudi rasmi.  Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akikabdihi kadi ya CCM kwa  moja ya viongozi wa Chadema Meatu waliorudi CCM.  Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akihutubia wakazi wa wilaya ya Meatu na kuwahakikishia wananchi hao CCM imejipanga...

 

11 years ago

GPL

WATIFUANA!

Stori: WAANDISHI WETU
MTIFUANO! Mastaa wawili wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans wameendeleza ligi ya bifu lao baada Chuchu kujibu mapigo huku malejendari wengine wawili wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ na Khaleed Mohamed ‘TID Mnyama’ wakitifuana. Staa wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula … ...

 

11 years ago

GPL

JOKATE, NATURE WATIFUANA!

Na Waandishi Wetu PASUA jipu! Mastaa wawili wenye majina makubwa Bongo, mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Mbongo-Fleva Juma Kasim ‘Juma Nature’ wanadaiwa kuacha mshangao kwa wasanii wenzao baada ya kutifuana, Ijumaa Wikienda limeng’atwa sikio.  Mkali wa Bongo Fleva, Juma Kasim ‘Juma Nature’. Pamoja na kwamba Nature amekuwa akizuga kutomaindi lakini habari za kushangaza...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA, SHILOLE WATIFUANA

Stori: Gladness Mallya MTIFUANO mzito umeibuka kati ya mastaa wa Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Baby Madaha baada ya kurushiana vijembe. Staa wa Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Awali katika gazeti la Amani toleo la wiki iliyopita, Baby Madaha alinukuliwa akisema kuwa Mwezi wa Ramadhani unambana kiuchumi, kwa vile kumbi nyingi za starehe zimefungwa, hivyo anakosa shoo. Akizungumza na Risasi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto, Lema, Werema watifuana

SAKATA la mabilioni yanayodaiwa kufichwa na Watanzania nje ya nchi jana lilileta zogo bungeni baada ya Mwanasheria Mkuu, Jaji Frederick Werema, kutifuana na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, huku...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chenge amtimua Mwingulu kikaoni

MAKOMBORA ya Kamati ya Bajeti yameilazimisha serikali kufyeka sh bilioni 170 kutoka katika matumizi yasiyo ya lazima na kuzipeleka kwenye maeneo yenye tija. Tanzania Daima, imedokezwa kuwa uamuzi huo wa...

 

11 years ago

GPL

SHAMSA APOTEZA UTULIVU KIKAONI

Stori: Deogratius Mongela
UA zuri kunako anga la sinema Bongo, Shamsa Ford amejikuta akipoteza utulivu kikaoni kufuatia kuinuka na kuzama toileti mara kwa mara. Shamsa Ford. Tukio hilo lilichukua nafasi hivi karibuni kwenye kikao cha mdahalo wa kugombea nafasi za viongozi wapya wa Klabu ya Bongo Movies katika Viwanja vya Leaders Club jijini Dar. Tathmini za paparazi wetu, Shamsa aliyeonekana akipiga mtungi kiaina, zilibaini...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mbunge anaswa akicheza kikaoni

Mbunge wa chama tawala cha Conservative nchini Uingereza amekiri kucheza mchezo maarufu kwenye tabiti yake wakati wa kikao cha kamati ya bunge

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani amkana mtendaji kikaoni

DIWANI wa Ganana katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’, mkoani Manyara, Zakayo Tarmo, amemkana mtendaji wake wa kata na kukataa kusomewa taarifa ya maendeleo akimtuhumu hampi ushirikiano katika utendaji ndani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani