WATIFUANA!
![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGaAH5VDr9RrJE7tqvSDD28tB1H9NWMW03BuwR5HD8*FjurcHUEweXpYmVlhrIhe4Vup7EKpqH*QAB246ytpH6Bh/back.jpg?width=650)
Stori: WAANDISHI WETU MTIFUANO! Mastaa wawili wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans wameendeleza ligi ya bifu lao baada Chuchu kujibu mapigo huku malejendari wengine wawili wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ na Khaleed Mohamed ‘TID Mnyama’ wakitifuana. Staa wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula … ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6ZFxS94XJ1DvEd7XwJ0kwt1zqapeTDtciJKF*DHipk9hmewWsYWsoiRAW6NGpP89TwlXljSsi317smlSkHzLqIl/jokate.jpg?width=650)
JOKATE, NATURE WATIFUANA!
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Zitto, Lema, Werema watifuana
SAKATA la mabilioni yanayodaiwa kufichwa na Watanzania nje ya nchi jana lilileta zogo bungeni baada ya Mwanasheria Mkuu, Jaji Frederick Werema, kutifuana na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, huku...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ea4x8ggFHeKRZbZ-CPp6Chn5dsnUGFdnvt7yn9h*St-LDl1B9CguAVr9**52xL*xQZ57wurfhwUewNYlCTlog5F-eTrwFcDk/shilole.jpg)
BABY MADAHA, SHILOLE WATIFUANA
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-mS_dXUaz0ls/VAbis2tA3QI/AAAAAAAABmc/gUlF_BqjNmQ/s72-c/shibuda2.jpg)
Viongozi CHADEMA watifuana kikaoni
MBUNGE wa Maswa Magharibi (CHADEMA), John Shibuda, ambaye ametoa notisi ya kuachana na chama hicho, amevurumishiana maneno na mbunge mwenzake, Sylvester Kasulumbayi.
![](http://3.bp.blogspot.com/-mS_dXUaz0ls/VAbis2tA3QI/AAAAAAAABmc/gUlF_BqjNmQ/s1600/shibuda2.jpg)
Mvutano huo nusura uvunje kikao hicho, ambapo Mwenyekiti wa Baraza hilo alilazimika kuingilia kati ili kutuliza munkari.
Hali hiyo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jIhV2tSCZFW9NVQKpZD06LvSJChs338YQfKIptVmCDsPlo6OhZ0xi92Uzcw6Ava9aMvhRli8YcFgXPU8AG7ZSJXES8sWWQxL/FRONTAMANI.jpg)
AUNT, NICE CHANDE WATIFUANA KWA MITUSI!
10 years ago
Bongo Movies16 Jun
Baba Haji, Lemutuz Watifuana, Kisa Mchango wa Harusi
Staa wa Bongo Movies, Adam Haji ‘Baba Haji’ amemtolea uvivu ‘The King Of All Bongo Social Media Network’ Lemutuz kutokana na tukio la udhalilishaji alilolifanya dhidi yake!
Lemutuz ambaye amezoeleka kwa kutoa hisia na mtazamo wake juu ya mambo mbali mbali mtandaoni, mapema wiki iliyopita alimnanga Baba Haji kupitia ukurasa wke kwenye mtandao wa instagram akidai kuwa amekuwa akisumbua kuhusu michango ya harusikiasi cha kubadili staili ya kudai michango hiyo.
Kutokana na kitendo hicho Baba...