JOKATE, NATURE WATIFUANA!
![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6ZFxS94XJ1DvEd7XwJ0kwt1zqapeTDtciJKF*DHipk9hmewWsYWsoiRAW6NGpP89TwlXljSsi317smlSkHzLqIl/jokate.jpg?width=650)
Na Waandishi Wetu PASUA jipu! Mastaa wawili wenye majina makubwa Bongo, mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Mbongo-Fleva Juma Kasim ‘Juma Nature’ wanadaiwa kuacha mshangao kwa wasanii wenzao baada ya kutifuana, Ijumaa Wikienda limeng’atwa sikio.  Mkali wa Bongo Fleva, Juma Kasim ‘Juma Nature’. Pamoja na kwamba Nature amekuwa akizuga kutomaindi lakini habari za kushangaza...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM21 Nov
WAKATI FELA ANA MPANGO WA KUMALIZA BIFU NA JUMA NATURE, NATURE ACHOMOA MCHONGO
Mkurugenzi wa kituo cha kukuza vipaji vya wasanii “Mkubwa na Wanae”, Saidi Fela ambaye pia ni kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family, kundi ambalo lilianzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 baadaye likaja kuvunjika vipande viwili likazaliwa kundi la TMK Halisi chini ya Juma Nature, hiyo ilikuwa mwaka 2006.
Hivi karibuni Said Fela amefunguka kuwa ana mpango wa kumfuata Juma Nature ili wakae chini na kushirikiana kikazi kama zamani. Lakini alipoulizwa Juma Nature kama yuko tayari kufanya kazi na...
10 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Ushindi wa Tuzo, Diamond Atupa Dongo kwa Jokate, Jokate Naye Ajibu
Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.
Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @ diamondplatnumz
Baadae Jokate nae akaandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu video hiyo ambayo alimpost Diamond.
Tuki-support mtu ndio kama hivi...
5 years ago
MichuziWAZIRI JAFO AAGIZA SHULE ILIYOJENGWA NA DC JOKATE IITWE JOKATE GIRLS SEKONDARI, ASIFU UTENDAJI WAKE
Moja ya jengo jipya na la kisasa la Shule ya Sekondari ya Wasichana Jokate Girls iliyopo Kata ya Kibuta wilayani Kisarawe mkoani Pwani ambayo linavyoonekana.Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemen Jafo amefanya ziara ya kutembelea shule hiyo kwa ajili ya kukagua maendeleo ya ujenzi wake.
Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemen Jafo akizungumza jana baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya bweni ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGaAH5VDr9RrJE7tqvSDD28tB1H9NWMW03BuwR5HD8*FjurcHUEweXpYmVlhrIhe4Vup7EKpqH*QAB246ytpH6Bh/back.jpg?width=650)
WATIFUANA!
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-mS_dXUaz0ls/VAbis2tA3QI/AAAAAAAABmc/gUlF_BqjNmQ/s72-c/shibuda2.jpg)
Viongozi CHADEMA watifuana kikaoni
MBUNGE wa Maswa Magharibi (CHADEMA), John Shibuda, ambaye ametoa notisi ya kuachana na chama hicho, amevurumishiana maneno na mbunge mwenzake, Sylvester Kasulumbayi.
![](http://3.bp.blogspot.com/-mS_dXUaz0ls/VAbis2tA3QI/AAAAAAAABmc/gUlF_BqjNmQ/s1600/shibuda2.jpg)
Mvutano huo nusura uvunje kikao hicho, ambapo Mwenyekiti wa Baraza hilo alilazimika kuingilia kati ili kutuliza munkari.
Hali hiyo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ea4x8ggFHeKRZbZ-CPp6Chn5dsnUGFdnvt7yn9h*St-LDl1B9CguAVr9**52xL*xQZ57wurfhwUewNYlCTlog5F-eTrwFcDk/shilole.jpg)
BABY MADAHA, SHILOLE WATIFUANA
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Zitto, Lema, Werema watifuana
SAKATA la mabilioni yanayodaiwa kufichwa na Watanzania nje ya nchi jana lilileta zogo bungeni baada ya Mwanasheria Mkuu, Jaji Frederick Werema, kutifuana na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, huku...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jIhV2tSCZFW9NVQKpZD06LvSJChs338YQfKIptVmCDsPlo6OhZ0xi92Uzcw6Ava9aMvhRli8YcFgXPU8AG7ZSJXES8sWWQxL/FRONTAMANI.jpg)
AUNT, NICE CHANDE WATIFUANA KWA MITUSI!