MWANAMFALME AKISHINO WA JAPAN AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akizungumza na Mwanamfalme Akishino wa Japan mara baada ya Mwanamfalme huyo kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuanza ziara yake ya siku tano hapa nchini.
Mhe. Mahadhi na Mwanamfalme Akishino wa Japan wakiendelea na mazungumzo huku Mke wa Mwanamfalme huyo (kulia) pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Japan, Mhe. Salome Sijaona (kushoto) na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi08 Jul
Mwanamfalme Akishino wa Japan amaliza ziara yake rasmi nchini
11 years ago
Michuzi01 Jul
Mwanamfalme Akishino wa Japan na Mkewe kufanya ziara rasmi ya siku tano Tanzania kuanzia kesho

Akiwa hapa nchini Mwanamfalme Akishino atakutana kwa mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kabla ya kutembelea Kituo cha Mafunzo cha Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO); Makumbusho ya Taifa na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Akiendelea na ziara yake, Mwanamfalme Akishino atatembelea Visiwa vya Zanzibar na...
10 years ago
Vijimambo
RAIS WA MSUMBIJI FILIPE JACINTO NYUSSI AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI YA SIKU TATU



11 years ago
Dewji Blog03 Jul
Rais Kikwete aonana na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino leo Ikulu, Dar
Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014.
Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkurugenzi wa Idara ya Asia Bw. Mblewa Kairuki kwa Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea...
10 years ago
BBCSwahili01 Sep
Bashir awasili Uchina kwa ziara rasmi
11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AWASILI VIETNAM KWA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI


11 years ago
Michuzi.jpg)
Spika Makinda awasili Muscat Oman kwa ziara rasmi ya kibunge
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AWASILI ALGIERS, ALGERIA, KWA ZIARA RASMI YA SIKU TATU
Rais was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini Algiers, mji mkuu wa Algeria, mchana wa leo, Jumamosi, Mei 9, 2015 kuanza ziara rasmi ya Kiserikali ya siku tatu katika nchi hiyo rafiki wa miaka mingi wa Tanzania kwa mwaliko wa Rais Abdelaziz Bouteflika.
Rais Kikwete amewasili katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria akitokea New York, Marekani, ambako kwa wiki nzima amekuwa anaendesha vikao vya Jopo la Watu Mashuhuri Duniani ambao wanatafuta...
11 years ago
Michuzi
MHE. MEMBE AWASILI NCHINI CHINA KWA ZIARA YA KIKAZI



Kwa picha zaidi BOFYA HAPA