Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamuziki aliyevuma John Ashihundu

Wapenzi wa muziki hupenda nyimbo kwa sababu tofauti tofauti. Mwandishi wa BBC, Wanyama wa Chebusiri ametembelea mpenzi mmoja wa muziki uliovuma miaka mingi iliyopita, John Ashihundu na kutuandalia taarifa ifuatayo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWANAMUZIKI SIR ELTON JOHN

Stori:  Hashim Aziz na mtandao
Wengi wanamjua Elton John kutokana na sauti yake nzuri awapo jukwaani ambapo nyimbo zake nyingi, zikiwemo Sacrifice na Candle in the Wind, zimemfanya atambulike dunia nzima. Kubwa zaidi, msanii huyu ni miongoni mwa watu wachache duniani waliokiri kuwa na uhusiano wa jinsia moja (shoga). Yafuatayo ni mambo kumi usiyoyajua kuhusu msanii huyu. 1. Elton Johh alianza kujifunza kupiga piano akiwa na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rambirambi kwa kifo cha mke wa mwanamuziki John Kitime na Baba yake msanii Dully Sykes

BASATA

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa kifo cha Mke wa Msanii mkongwe wa muziki wa dansi na Mjumbe wa Bodi ya BASATA Bw. John Kitime kilichotokea mwishoni mwa wiki iliyopita usiku wa kuamkia Ijumaa ya Tarehe 13/02/2014.

Aidha, BASATA linatoa salamu rambirambi kwa kifo cha Baba Mzazi wa Msanii Dully Sykes, Mzee Abby Sykes kilichotokea jana Jumapili ya Tarehe 15/02/2015.

Pamoja na vifo hivi kuacha majonzi na huzuni kwa wanafamilia, ni pigo pia kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

BASATA YATOA RAMBIRAMBI KWA KIFO CHA MKE WA MWANAMUZIKI JOHN KITIME NA BABA YAKE MSANII DULLY SYKES

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa kifo cha Mke wa Msanii mkongwe wa muziki wa dansi na Mjumbe wa Bodi ya BASATA Bw. John Kitime kilichotokea mwishoni mwa wiki iliyopita usiku wa kuamkia Ijumaa ya Tarehe 13/02/2014.
Aidha, BASATA linatoa salamu rambirambi kwa kifo cha Baba Mzazi wa Msanii Dully Sykes, Mzee Abby Sykes kilichotokea jana Jumapili ya Tarehe 15/02/2015.
Pamoja na vifo hivi kuacha majonzi na huzuni kwa wanafamilia, ni pigo pia kwenye tasnia...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kijana aliyevuma kutokana na saa akutana na Bashir

Mvulana aliyekamatwa kwa kupeleka saa ya kujitengenezea shuleni Marekani wiki chache zilizopita, amekutana na Rais wa Sudan Omar al-Bashir.

 

11 years ago

GPL

PAPA JOHN PAUL II, JOHN XXIII KUTANGAZWA WATAKATIFU LEO

Waumini wakisubiri kuingia St Peter's Square jijini Vatican tayari kwa tukio la kutangazwa watakatifu Papa John Paul II na John XXIII baadaye hii leo. Papa John Paul II na John XXIII wanatarajiwa kutangazwa watakatifu leo katika tukio litakaloongozwa na mkuu wa sasa wa kanisa Katoliki duniani, Papa Francis huko St Peter's Square  jijini Vatican.  Watu takribani milioni moja wanataraji kuhudhuria tukio hilo la kihistoria. ...

 

11 years ago

TheCitizen

John Paul II and John XXIII declared saints

>Pope Francis yesterday proclaimed John Paul II and John XXIII as the Catholic Church’s newest saints at a ceremony joined by hundreds of thousands of pilgrims for the two pontiffs who helped shape 20th century history.

 

10 years ago

Michuzi

MDAU JOHN CHACHA AMPONGEZA DKT JOHN MAGUFULI KWA USHINDI WA KUIPEPERESHA BENDERA YA CCM KUWANIA URAIS 2015

Mgombea uraisi kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi -CCM Dkt John Magufuli akipongezwa na mwandishi mwandamizi wa kituo cha ITV na Radio one John Chacha siku chache kabla ya Dkt Magufuli kuchukuwa fomu ya kutia nia kugombea nafasi ya Urais kupitia chama cha CCM,ambapo aliagana na mwandishi huyo akiwa njiani kuelekea mikoa ya Geita,Mwanza na Kagera.Pichani ilikuwa ni nje ya ofisi za CCM makao makuu mjini Dodoma,John Chacha anamtakia kila lakheri na afya njema katika safari yake ya...

 

11 years ago

GPL

PAPA FRANCIS AWATANGAZA PAPA JOHN PAUL II, JOHN XXIII KUWA WATAKATIFU

Mahujaji wakifuatilia tukio la kuwatangaza watakatifu Papa John Paul II na John XXIII jijini Vatican leo. Papa Francis akiongoza ibada kabla ya kuwatangaza watakatifu.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani