MWENYEKITI WA TACIN ANIC KASHASHA ATEMBELEA BANDA LA TPDC SABASABA
![](http://4.bp.blogspot.com/-PYzBx2M0JxI/U7j8Zd4uKpI/AAAAAAAFvRk/8jiBuMS-EuQ/s72-c/13d8214ac62f62da744bf6e47e64c8c6.jpg)
Mwenyekiti Mtendaji we shirika lisilo la kiserikali la TACIN, Bw. Anic Kashasha,(katikati) akiwa pamoja na uongozi wa juu wa Shirika la Maemdeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) akiwemo Mkurugenzi Mtendaji Bw. Yona Kilaghane (wa pili kulia) na Bibi Joyce Kisamo, Mkurugenzi wa Masoko na Uwekezaji, alipotembelea banda la shirika hilo kwenye viwanja vya Saba Saba jijini Dar ea Salaam, mapema leo. TACIN ni washirika wa TPDC kwenye maandalizi ya Mtwara Festival ambayo ni mkakati wa mawasiliano wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi05 Jul
JK Atembelea Banda la Mambo ya Nje, Sabasaba
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-XTRb30jGT2Y/U7WKgo9Yd3I/AAAAAAAFuto/fSkupEOGoYg/s72-c/b2.jpg)
Mh. Pinda atembelea Banda la PSPF kwenye Maonyesho ya Sabasaba
![](http://3.bp.blogspot.com/-XTRb30jGT2Y/U7WKgo9Yd3I/AAAAAAAFuto/fSkupEOGoYg/s1600/b2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-wLKnHa-OKqc/U7WKieh6-fI/AAAAAAAFutw/07GthcV8l7k/s1600/b3.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGayE3y55lE5UUnumzvvIlbg-1DF*HtSRLo4CONQfLpmdS2hhDO-uxZtncbibhRDlCLwy54AFra--TujYAMov-Pw/b2.jpg?width=650)
WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA PSPF KWENYE MAONYESHO YA SABASABA
11 years ago
Michuzi01 Jul
Ankal atembelea banda la PPF kwenye maonesho ya sabasaba leo
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zzUhiCK8p8U/VZ0EnXg4fxI/AAAAAAAHnuU/T-IPLaah5Mc/s72-c/Blog%2B1.jpg)
WAZIRI WA KAZI NA AJIRA ATEMBELEA BANDA LA NSSF KWENYE MAONESHO YA SABASABA
![](http://1.bp.blogspot.com/-zzUhiCK8p8U/VZ0EnXg4fxI/AAAAAAAHnuU/T-IPLaah5Mc/s640/Blog%2B1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-JuyFZ07QlLw/VZ0EopxsX5I/AAAAAAAHnuc/9povjppBgdI/s640/Blog%2B2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-6LKhLFE0mDY/VZ0EpFaNi_I/AAAAAAAHnug/1UZEse8-caI/s640/Blog%2B3.jpg)
11 years ago
Michuzi03 Jul
Kaimu Katibu Mkuu atembelea Banda la Wizara kwenye Maonesho ya Sabasaba
11 years ago
Dewji Blog09 Jul
Balozi wa Tanzania nchini Ubeligiji, Mh. Kamala atembelea banda PPF Katika maonyesho ya Sabasaba
Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni, Lulu Mengele (kushoto) akimkaribisha Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji, Mh Dodorius Kamala (kulia) wakati alipotembelea banda la PPF kwenye maonyesho ya Sabasaba yaliyomalizika jana.
Afisa Mafao wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Hellen Mollel akitoa maelezo kwa Balozi wa Tanzania nchini Ubeligiji, Mh Kamala juu ya wanachama wanavyonufaika na mafao wakati wanapostaafu kazini, Wa kwanza Kushoto ni Meneja Uhusiano na Masoko, Lulu Mengele.
Afisa...
10 years ago
Dewji Blog01 Jul
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Tanzania atembelea banda la Modewjiblog maonyesho ya Sabasaba leo
Mratibu Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez, akisalimiana na Mwandishi mwandamizi wa mtandao wa habari wa Modewjiblog, Andrew Chale alipotembelea katika banda la mtandao huo ambao mwaka huu mwezi Septemba unatimiza miaka 7 tangu kuanzishwa ambapo wametumia fursa ya maonyesho ya saba saba kukutana na wadau mbalimbali wanaotumia mtandao huo kupata habari mbalimbali sambamba na kubadilishana mawazo na ushauri wa maboresho...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7ECtbYEYrLQ/U7bs3Cw1rPI/AAAAAAAFvB0/2EVpuukRAgs/s72-c/Salma+_Mayingu2.jpg)
MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA PSPF KWENYE MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-7ECtbYEYrLQ/U7bs3Cw1rPI/AAAAAAAFvB0/2EVpuukRAgs/s1600/Salma+_Mayingu2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/--Q0iHBzreOE/U7bs3HfZi0I/AAAAAAAFvB4/MVi6IFeC78A/s1600/mayingu2.jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10