Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwigizaji Niva na Ndoto Kubwa Kutoka Katika Muziki

Staa wa filamu Niva ameweka wazi kuwa licha ya kuwepo kwa changamoto kadhaa kufanya muziki akiwa tayari anajulikana kama mwigizaji, amejipanga vizuri na ana malengo makubwa ya kupiga hatua kwa kuziunganisha fani hizo mbili.

Kupitia mahojiano aliyofanya na Eatv.tv, Niva amesema kuwa katika siku za mbeleni kupitia sanaa yake ana mpango wa kufanya mashabiki wake kujipatia nakala ya filamu kila wakiingia katika onesho lake la muziki.

Vile vile staa huyo akaweka wazi uwekezaji mkubwa alioufanya...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Nikki Wa Pili: Nguvu ya muziki wa nyumbani bado imeonekana ni kubwa zaidi ya muziki wa kigeni

Msemaji wa kundi la Weusi Nickson Simon a.k.a Nikki Wa Pili ni miongoni mwa wasanii waliopanda kwenye jukwaa la Fiesta 2014 kwenye viwanja vya Leaders, Dar Jumamosi October 18 akiwa na Joh Makini, Lord Eyez na G-Nako. Nikki ambaye pia hakupitwa na show za wasanii wengine alikuwa na machache ya kusema kwa kile alichokiona kwenye […]

 

11 years ago

GPL

KUTOKA JIJINI MWANZA KATIKA TAMASHA KUBWA LA UJASIRIAMALI LEO

Wananchi wakijipatia huduma kutoka kwa wadhamini wa Tamasha la Ujasiriamali linalofikia kilele chake leo hii jijini Mwanza. Wananchi wakijipatia CD za Eric Shigongo na James Mwang'amba zenye mafunzo ya ujasiriamali. (PICHA: CHANDE ABDALLAH NA DENIS MTIMA /…

 

11 years ago

Mwananchi

Kutoka dereva teksi hadi mwigizaji nyota wa Siri ya Mtungi

Si jambo rahisi kuamini kwamba Daudi Michael Tairo, anayefahamika zaidi kwa jina la Duma ndani ya tamthilia ya Siri ya Mtungi, aliwahi kuwa dereva teksi kwa miaka minne mfululizo.

 

10 years ago

GPL

IYANYA AZAMA KATIKA PENZI NA MWIGIZAJI CHIPUKIZI

Iyanya akiwa amepozi na ‘mshikaji’ wake Angel Ufumona. MWANAMUZIKI Iyanya aka ‘Mr Oreo’ wa Nigeria, amekolea katika penzi la muigizaji rembo ambaye ni chipukizi anayeshiriki naye katika maandalizi ya filamu iitwayo ‘Superstar’. Iyanya. Iyanya amejikuta katika ‘mahaba niue’ na mwigizaji, Angel Ufumoma, a nayeshirikiana naye katika filamu inayotarajiwa itainua zaidi fani ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tigo yadhamini tamasha kubwa la muziki mikoa ya kusini

1

Mkurugenzi wa Kampuni ya Tigo wa Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga (katikati walioketi) akielezea sababu za kampuni hiyo kudhamini tamasha la muziki (Mtikisiko) kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, Tamasha hilo litakalofanyika Songea, Njombe, Iringa na Mbeya kuanzia
kesho tamasha hilo limeandaliwa na Redio Ebony FM ya mjini Iringa na kudhaminiwa na Kampuni ya Tigo.

2

Sehemu ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni ya Tigo wa Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga.

Kampuni...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mwigizaji Jack Wolper Ashutumiwa Kumsahau Aliyemtoa Kisanii Katika Tasnia ya Filamu Bongo

Ubuyu Mpya Kutoka Instagram kwenye page ya mrekebishatabia kuhusu Mrembo Mwigizaji Wolper Kumsahau aliyemwingiza katika Tasnia ya Filamu:

'HISTORIA: Je unajua aliyemtoa kisanii Jackline Wolper mpaka kupata umaarufu nchini ni nani? Ni mdada mkali wa wa siku nyingi kwenye masuala ya sana Lucy Komba ambaye hivi sasa anaishi na familia yake nchini Denmark.

Alikutana nae kwenye ofisi moja bongo akamuomba namba ya simu walipoachana baada ya kama dk 10 akamuandikia msg anaomba amsaidie kwenye sanaa...

 

9 years ago

Bongo5

Yamoto Band: Tuna kila sifa za kuwa kundi kubwa la muziki Afrika

Yamoto Band

Msanii wa kundi la Yamoto Band, Aslay Isihaka amesema show zao za mwisho walizofanya nchini Marekani na Uingereza zimewafanya waone wana nafasi kubwa ya kutoboa kimataifa zaidi.

Yamoto Band

Aslay ameiambia Bongo5 Jumatatu hii kuwa kutokana na show nne walizofanya Ulaya zimewafanya waone ukubwa wao kwa mashabiki wa nje.
“Mashabiki wetu wa Ulaya walikuwa hawaamini kama ni sisi ndiyo tunafanya kile wanachokiona kutokana na umri wetu,” alisema.

“Lakini tunashukuru Mungu tulifanya show nzuri hali ambayo...

 

10 years ago

Michuzi

Mwigizaji JB atia fora katika uzinduzi wa ripoti ya benki ya dunia kuhusu ajira zenye tija tanzania

 Mwigizaji nyota wa filamu nchini Steven Jacob a.k.a JB "akitema yai"  wakati akitoa mada yake kwenye  wa uzinduzi wa Ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu ajiora Zenye Tija Tanzania leo Septemba 12, 2014 katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro Rais Kikwete akimpongeza mwigizaji nyota wa filamu nchini Steven Jacob a.k.a JB kwa kutoa mada yake vyema wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu ajiora Zenye Tija Tanzania leo Septemba 12, 2014 katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro

 

10 years ago

CloudsFM

Picha: Usaili wa kumtafuta mwigizaji wa filamu ya Zamaradi Mketema iitwayo ''MUKE YA MUZUNGU'' katika viwanja vya Leaders,Kinondoni

Mwigizaji Aunty Ezekiel akiwa na wasichana waliojitokeza kwenye usaili huo katika viwanja vya Leaders,Kinondoni,jijini Dar.Geah Habib akiwa na washiriki waliojitokeza kwenye usaili huo katika viwanja vya Leaders,Kinondoni,jijini Dar.Zamaradi Mketema akijadiliana kitu na Geaha Habib.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani