Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWIGULU NCHEMBA ,MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KALENGA WASHIRIKI MAZISHI YA WANANCHI WATATU KIJIJI CHA KIDAMALI MKOANI IRINGA

Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba na akishiriki mazishi ya wananchi watatu waliofarika kwa ajali ya gari,mazishi hayo yamefanyika jioni ya leo katika kijiji cha Kidamali kata ya Nzihi mkoani humo.  Mgombea Ubunge jimbo la Kalenga,mkoani Iringa,Ndugu Godfrey Mgimwa akishiriki mazishi ya wananchi watatu waliofarika kwa ajali ya gari,mazishi hayo yamefanyika jioni ya leo katika kijiji cha Kidamali kata ya Nzihi mkoani humo. Baadhi ya Wananchi wa kijiji cha Kidamali wakishiriki...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MWIGULU NCHEMBA AMNADI MGOMBEA WA CCM JIMBO LA KALENGA,MKOANI IRINGA LEO

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara Mwigulu Nchemaba akimnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga Gedfrey Mgimwa, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa Chuo Cha Ifunda, Iringa Vijijini. (Picha na Bashir Nkoromo).

 

11 years ago

Michuzi

UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA,MGOMBEA UBUNGE WA CCM AKIJINADI KWA WANANCHI LEO KIJIJI CHA SADAN-IRINGA VIJIJINI


Msikilize Mgombea Ubunge jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama cha CCM,Godfrey Mgimwa akijinadi jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Sadani kata ya Mseke,Iringa Vijijini.

 

11 years ago

GPL

MSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA KALENGA AZUIWA NA POLISI MKOANI IRINGA

Polisi mkoani Iringa wakiwa  wamezuia msafara  wa mgombea    ubunge jimbo la Kalenga,  Bi Grace Tendega kupitia Chadema kwa madai  hawakuwa na kibali cha kufanya  maandamano  hayo ya magari  hapa  ni eneo la lango la mji Samora ambapo msafara huo  ulikuwa ukitokea maeneo la Ndiuka kuelekea kwa msimamizi wa uchaguzi  ili kuchukua fomu. Mgombea  ubunge wa  Chadema Kalenga, Grace...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wasanii mkoani Iringa wamemtungia wimbo mgombea ubunge jimbo la Iringa Mjini Frank Kibiki

20150123_123538

MSANII wa muziki wa kizazi, kipya mjini Iringa, ONE LEE akitoa zawadi ya ngoma  kwa mwandishi wa Habari Frank Kibiki kwa niaba ya wasanii wenzake, ambaye hivi karibuni alitangaza nia ya kugombea  ubunge katika jimbo la Iringa mjini.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa,  wasanii hao walisema wameamua kutengeneza wimbo huo kutokana na mchango mkubwa wa mwanahabari huyo, katika fani yao.

Msanii huyo Richard Kayombo  ‘One Lee’ ambaye alikabidhi wimbo kwa niaba ya wasanii wenzake...

 

11 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE (CCM) JIMBO LA KALENGA GODFREY MGIMWA AHUTUBIA KWENYE MVUA KUBWA,WANANCHI WAKESHA NAE.!

 Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu Godfrey Mgimwa akiwa amebebwa juu na mmoja wa wanakijiji,mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa kampeni wa uchaguzi mdogo wa jimbo hilo,uliofanyika katika kijiji cha Wenda kata ya Mseke-Iringa Vijijini,huku kukiwa na mvua kubwa ikinyesha,ambayo hata hivyo haikuzuia kufanyika kwa mkutano huo.Wananchi wa Kijiji hicho walionekana kuw ana shauku kubwa ya kutaka kumsikiliza Mgombea huyo bila kujali kulowana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani