Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mwili wa george tyson ulipowasili Dar es salaam

 Dada wa marehemu Tyson, Doreen akilia kwa simanzi baada ya mwili wa kaka yake kuwasili katika hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es salaam jana jioni.   Jeneza lenye mwili wa George Tyson likiingizwa mochwari katika Hospitali ya Kairuki, Mikocheni jijini Dar. Wadau wa tasnia ya filamu wakiwa na jeneza la Mwili wa Tyson ukiwa mochwari katika Hospitali ya Kairuki.
PICHA NA GPL

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWILI WA GEORGE TYSON WAWASILI KAIRUKI, VILIO VYATAWALA

Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa George Tyson kuupeleka mochwari. Jeneza lenye mwili wa George Tyson likiingizwa mochwari katika Hospitali ya Kairuki, Mikocheni jijini Dar.…

 

11 years ago

GPL

MWILI WA GEORGE OTIENO 'TYSON' WAANZA KUAGWA LEADERS CLUB

Jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno 'Tyson' likiwa Viwanja vya Leaders tayari kwa shughuli za kuagwa. Jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno 'Tyson' likiwa mbele ya baadhi ya waombolezaji.…

 

11 years ago

Michuzi

MAREHEMU GEORGE TYSON AAGWA LEO JIJINI DAR


Sehemu ya Wacheza Filamu nchini waliokuwa wamebeba Jeneza lenye Mwili wa Marehemu George Otieno Okomu (George Tyson) wakijipanga tayari kwa akili ya kuongoza shughuli ya Kuga mwili iliyofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.Mwili huo umesafirishwa kupelekwa nchini Kenya ambako ni nyumbani kwao na Marehemu kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika Jumamosi ijayo baada ya kukamiliza kwa mipango yote.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Saddick...

 

11 years ago

GPL

KUTOKA KATIKA MSIBA WA GEORGE TYSON MBEZI MAKONDE JIJINI DAR

Yvonney Chery ‘Monalisa’ akiwa na simanzi kubwa.
Kulia ni mke wa marehemu George Tyson akiwa msibani. (PICHA NA GLOBAL WhatsApp +0753 715 779 : Hamida…

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA MAREHEMU GEORGE LIUNDI KARIMJEE JIJINI DAR

Rais Jakaya Kikwete akiwasili Viwanja vya Karimjee kuaga mwili wa marehemu George Liundi. Jeneza lenye mwili wa marehemu Bakari George Liundi likiwa mbele ya waombolezaji.…

 

11 years ago

GPL

GEORGE TYSON AFARIKI DUNIA

Mwongozi filamu na aliyekuwa mume wa msanii wa filamu Monalisa, George Tyson amefariki dunia baada ya kupata ajali mbaya ya gari Morogoro akitokea mkoani Dodoma.

 

11 years ago

Michuzi

UPDATES ZA MSIBA WA GEORGE TYSON

Mwili wa Marehemu George Tyson (pichani) utapelekwa nyumbani kwa marehemu Mbezi Beach (eneo la Makonde) kesho Jumanne Juni 3 kuanzia majira ya saa kumi jioni kwa ajili ya kuaga.
  Mwili utakuwepo nyumbani hapo mpaka siku ya Jumatano Juni 4,ambapo mwili utapelekwa kwenye viwanya vya Leaders Club,Kinondoni kwa ajili ya shughuli ya kuaga mwili na ibada fupi.
Baadae mwili utapelekwa kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere tayari kwa kusafirishwa kwenye jijini Nairobi nchini Kenya kwa...

 

11 years ago

GPL

MIRATHI YA GEORGE TYSON, MONA ACHARUKA

Oohoo nooo! Wakati aliyekuwa mumewe, George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41) akipumzishwa kwenye nyumba ya milele huko Kisumu nchini Kenya, Yvone-Cherry Ngatikwa ‘Monalisa’ amewacharukia watu waliodai alikuwa akijipendekeza msibani ili kupata mirathi ya mwanaume huyo. Muigizaji wa Bongo Muvi, Yvone-Cherry Ngatikwa ‘Monalisa’ akiwa na mwanaye, Sonia. Awali, Mona ambaye ni staa mkubwa wa sinema za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani