Mwombeki aeleza alivyofuatwa na Yanga
![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegCiM0RAMwzEK*IOIYL9HDZ5RcDxoTLcNgkvoIYPUEkXOReQnXcj2hNivdTLj7L8PgzfHG1ewJXtMVf6RAHwDG*Iz/mwombeki.jpg?width=650)
Mshambuliaji wa Simba, Betram Mwombeki. Na Lucy Mgina MSHAMBULIAJI wa Simba, Betram Mwombeki, amesema ilibaki kidogo atue Yanga, lakini viongozi wa Simba walishitukia ishu hiyo na kuamua kumsainisha haraka. Mwombeki alijiunga na Simba msimu huu akitokea Pamba ya Mwanza kwa mkataba wa miaka miwili. Akizungumza na Championi Jumatano, Mwombeki alisema wakati akifanya mazoezi na klabu ya Simba ambayo ilikuwa ikimfanyia...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZcN8Bom48X0PU9EnNZZsbZ4*m9Jl5zPBE-crtX2LxgaHaEsMAYX0*mVBQzk-cKSi32MnsuwyuzqNloXa9AGCpCQ/MWOMBEKI.jpg?width=600)
Bosi wa Mwombeki amvaa Logarusic
10 years ago
Vijimambo15 Apr
Happy Birthday Bryan Mwombeki April 15