Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NACTE yatambia mafanikio miaka 10 ya Rais Kikwete

BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limeelezea mafanikio makubwa lililoyapata katika kipindi cha serikali ya awamu ya nne (2005- 2015) huku likitoa wito kwa wadau wa elimu na mafunzo ya ufundi kutoa mchango wao wa hali na mali ili kuboresha elimu na mafunzo hayo nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

NACTE YAPATA MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 10

Mkurugenzi wa Idara ya Ushauri na malezi wa vyuo(NACTE).Dkt. Adolf Rutayuga (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na mafanikio ya usajili wa taasisi na vyuo vya elimu na mafunzo ya ufundi yaliyopatikana katika kipindi cha serikali ya awamu ya Nne ambapo umeongezeka kutoka 168 mwaka 2005 hadi 528 mwaka 2015 huku 206 vikiwa ni vya Serikali na 322 si vya Serikali.Wanaoshuhudia kushoto ni Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND AKIWA NDANI YA IKULU KUONYESHA MAFANIKIO YAKE KWA MH. RAIS DKT KIKWETE

Thank you so much Mr president @jmkikwete .... daima nitaendelea kujituma na kuhakikisha naitumikia vyema nchi yangu #StateHouse #Earliertoday Haya ni maneno yake mwenyewe akitiririka. Diamond na kijana anaejituma na mwenye mafanikio kupitia music wake na kwa sasa ametokea kuwa balozi wa Tanzania popote pale jina lake lipo juu. Uwezi kuitaja Tanzania bila Diamond.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHAJI ZA MIAKA 50 YA JWTZ

Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ, Mkuu wa majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange katika sherehe za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014. Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ baada ya kuwatunuku nishani katika sherehe zilizofanyika...

 

10 years ago

Mwananchi

Miaka 10 ya Rais Kikwete: Ateua mawaziri 120

Rais Jakaya Kikwete ambaye alianza kipindi chake cha kuongoza nchi mwaka 2005 kwa kuteua jumla ya mawaziri na manaibu 60, anaondoka akiwa ameteua jumla ya watu 118 kushika nyadhifa hizo, Mwananchi inaweza kukuthibitishia.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atunuku Nishani na Tuzo Za miaka 50 Ya Muungano

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa kuamkia leo ametunuku nishani na Tuzo kwa viongozi mbalimbali wa kitaifa na watumishi wa umma wapatao 86 waliotoa mchango wao katika kuulinda na kuudumisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliodumu kwa miaka Hamsini 50. Mama Maria Nyerere akipokea nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano(Order) kwa niaba ya Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Mama Maria Nyerere Nishani ya Kumbukumbu ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete katika sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi Zanzibar

unnamed213

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad katikati ni Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar Mh. Shamsi Vuai Nahodha.(Picha na Freddy Maro wa Ikulu)

unnamed119

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu Mh Benjamin Mkapa wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya  Mapinduzi  Zanzibar zilizofanyika kwenye uwanja wa Amani, Katikati...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA KENYA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete (kulia) wakihudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Kenya zilizofanyika katika uwanja wa Michezo wa Kasarani mjini Nairobi jana. Kushoto ni Mwenyeji wao Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.Wa tatu kushoto ni Naibu Rais wa Kenya William Ruto, Wa tano Kushoto ni Waziri Mkuu wa Ethiopia Haile Mariam Desalegn na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi na mkewe.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani