Nacte yatangaza Stashahada Ualimu
Mafunzo ya stashahada ya ualimu wa shule za msingi (Ordinary Diploma in Primary
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi21 Jul
11 years ago
Michuzi21 Apr
11 years ago
Dewji Blog20 Aug
Wanafunzi wa stashahada ya ualimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati UDOM kunufaika na mikopo ya elimu ya juu
Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. Cosmas Mwaisobwa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2014/2015, wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Baadhi ya Waaandishi wa Habari wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa...
10 years ago
Dewji Blog15 Mar
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linakaribisha maombi ya kujiunga na ualimu 2015/2016
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt. Primus Nkwela (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye Makao makuu ya ofisi hizo Mikocheni B jijini Dar es Salaam, Wakati akiutangazia Umma juu ya kukaribisha maombi ya kujiunga na mafunzo ya Ualimu kwa mwaka wa masomo 2015/2016 kwa vijana waliomaliza kidato cha Nne Oktoba 2014. na wengine wenye sifa mbalimbali kama zinavyopatikana kwenye tovuti ya baraza hilo:www.necte.go.tz.Waombaji watakao...
10 years ago
Michuzi.jpg)
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI(NACTE)LINAKARIBISHA MAOMBI YA KUJIUNGA NA UALIMU 2015/2016
.jpg)
10 years ago
GPLNECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA 6 NA UALIMU 2015
11 years ago
Michuzi31 May
NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU 2014-2015 CHUO CHA UALIMU RENGEMBA MAFINGA IRINGA
CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2014 - 2015 NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NA CHILD DEVELOPMENT - 2014-2015 ADA YA MWAKA MOJA PAMOJA NA HOSTEL NI MILLIONI MOJA (1,000,000) UNAWEZA KULIPA KWA AWAMU NNE NDANI YA MWAKA MMOJA. FORM ZA SHULE ZINAPATIKANA kwa maelezo zaidi wasiliana na njia ya barua pepee; rugemba@gmail.com REGEMBA CHUONI -0753 038336 DAR ES SALAAM -BOKO...
11 years ago
Michuzi27 May
NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU 2014-2015 CHUO CHA UALIMU CHA RUNGEMBA, MAFINGA, IRINGA
1. MAFUNZO YA UALIMU STASHAHADA (SECONDARY) 'DIPLOMA IN SECONDARY' (DSEE) KWA MIAKA 2 Sifa za mwombaji - awe amemaliza kidato cha sita (v1) na ufaulu wa principal (1) subsidiary (1) 2. UALIMU DARAJA LA 111-A - NGAZI YA CHETI (CATCE) - KWA MIAKA 2. Sifa za mwombaji - awe amemaliza kidato cha nne (1V) na ufaulu wa alama 26-27 (kwa mwaka 2004-2012) au alama 32-34 (kwa mwaka2013) 3. MAFUNZO...
11 years ago
GPLMSANII BAKARI MAKUKA ATUNUKIWA STASHAHADA YA UANDISHI WA HABARI