Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nafasi ya kazi BBC Swahili

BBC Swahili ofisi ya Nairobi inamtafuta mwandishi habari mwenye uwezo wa kuripoti kwa lugha ya kiingereza na kiswahili

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

BBC Swahili yazindua studio nchini, Kipindi cha asubuhi cha amka na BBC kuruka moja kwa moja kutokea Dar

1

Mkuu wa Habari wa BBC Idhaa ya Ulimwengu,Bi. Nikki Clarke akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha kurushia Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC jijini Dar es Salaam,katika Jengo lao lililopo Mikocheni.Kushoto ni Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Ali Saleh.(Picha zote na Othman Michuzi).

BBC Idhaa ya Ulimwengu, imezindua ofisi zake jijini Dar es Salaam. Ofisi za Dar es Salaam zina studio ambazo zinatumika kuandaa matangazo maarufu ya redio ya asubuhi, Amka na BBC, na pia...

 

9 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Mwananchi

Mwananchi iliniimarisha kuelekea BBC Swahili (2)

Kila jambo hutokea kwa makusudi na mapenzi ya Mungu. Kwa wakati mwingine safari ya kufikia ndoto zako, unaweza kujutia uamuzi na kudhani kama umekosea njia.

 

10 years ago

Dewji Blog

BBC Swahili presents: The new-look Dira ya Dunia

bbc swahili

Kipindi cha Kiswahili cha BBC Televisheni Dira ya Dunia sasa kinakujia na muonekano mpya unaovutia.

Kipindi hicho kinachopeperusha Taarifa ya habari kwa zaidi ya wasikilizaji milioni 6.9 itakuwa na sura mpya inayojumuisha maandishi mapya yaliyotiwa nakshi,vipindi vipya na ripoti za kina zinazojumuisha habari, michezo na burudani.

 Tangu ilipozinduliwa mwaka wa 2012 Dira ya Dunia TV, inatazamwa kila siku na mashabiki nchini Tanzania, Kenya, Burundi na katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo....

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Bongo5

Arnold Kayanda ajiunga na BBC Swahili

Habari njema kwa mashabiki wa aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha Radio Clouds FM, Arnold Kayanda ni kuwa hivi karibuni ataanza kusikika tena Radioni baada ya kujiunga na Shirika la Utangazaji la BBC Swahili. Baruan Muhuza, Regina Mwalekwa na Arnold Kayanda Kayanda ambaye amejipatia umaarufu zaidi kupitia vipindi mbalimbali vya Clouds kikiwemo kipindi cha Top 20 […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani