Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Naibu Spika awaangukia wapinzani Uganda

Naibu Spika wa Uganda Jacob Oulanyah amelazimika kumwomba radhi mgombea urais wa Chama cha Umoja wa Mabadiliko ya Kidemokrasia na viongozi wengine wa upinzani kutokana na kuathiriwa na vurugu zilizojitokeza wiki iliyopita katika jimbo lake la Omoro.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Spika na Naibu Spika wa Bunge la Burundi ikulu jijini Dar es salaam

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na spika wa Bunge la Burundi Mhe.Paschal Nyabenda(kushoto) na Naibu Spika wa Bunge la Burundi Mhe.Agathon Rwasa ikulu jijini Dar es Salam leo mchana.Spika huyo na ujumbe wake walimtembelea Rais Kikwete leo.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Burundi Mhe. Paschal Nyabenda, naibu Spika wa Bunge hilo Mhe. Agathon Rwasa pamoja wajumbe wengine ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa...

 

9 years ago

Mwananchi

‘Mzimu’ wa kanuni wamwandama Naibu Spika

Ushiriki wa aliyekuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Tulia Ackson katika masuala ya siasa na hatimaye kuchaguliwa Naibu Spika wa Bunge, umezidi kuibua maswali huku akidaiwa kuwa amekiuka kanuni za watumishi wa umma.

 

10 years ago

BBCSwahili

Burundi:Agathon Rwasa ni naibu wa spika

Licha ya kupinga uchaguzi mkuu wa hivi majuzi kiongozi wa upinzani Agathon Rwasa amekubali kuwa naibu wa spika.

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU SPIKA ATEMBELEWA NA BALOZI WA CUBA

 Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt Tulia Ackson akimshuhudia Balozi wa Cuba nchini Mheshimiwa Jorge Lopez Tormo akisaini kitabu cha wageni wakati alipomtembelea ofisini kwake jiiji Dar es salaam.Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt Tulia Ackson akifafanua jambo wakati akizungumza na Balozi wa Cuba nchini Mheshimiwa Jorge Lopez Tormo aliyemtembelea leo ofisini kwake jijini Dar es salaam.Balozi wa Cuba nchini Mheshimiwa Jorge Lopez Tormo akifafanua jambo wakati akizungumza na Naibu Spika Mhe. Dkt Tulia...

 

10 years ago

Michuzi

UFAFANUZI JUU YA HALI YA AFYA YA NAIBU SPIKA

Naibu Spika wa Bunge,Mh. Job Ndugai.

 

10 years ago

Mwananchi

Naibu Spika adaiwa kumpiga mgombea CCM

Dodoma. Kampeni za wagombea ubunge wa Jimbo la Kongwa juzi zilikumbwa na tafrani baada ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai kudaiwa kumchapa fimbo na baadaye kumpiga ngumi mgombea mwenzake aliyeanguka na kuzirai.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Tulia Ackson achaguliwa Naibu Spika wa Bunge

Wabunge 250 wamepiga kura za ndiyo kwa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Viti Maalumu, vya kuteuliwa na rais, Dk Tulia Ackson Mwansasu na kumchagua kuwa Naibu Spika wa Bunge la kumi na moja.

 

10 years ago

BBCSwahili

Naibu spika amwagiwa maji bungeni Kenya

Kikao cha adhuhuri cha wabunge nchini Kenya,kikiendelea kuzua hisia kali huku wabunge wakiendelea kuvurugana humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani