Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAIBU SPIKA ATEMBELEWA NA BALOZI WA CUBA

 Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt Tulia Ackson akimshuhudia Balozi wa Cuba nchini Mheshimiwa Jorge Lopez Tormo akisaini kitabu cha wageni wakati alipomtembelea ofisini kwake jiiji Dar es salaam.Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt Tulia Ackson akifafanua jambo wakati akizungumza na Balozi wa Cuba nchini Mheshimiwa Jorge Lopez Tormo aliyemtembelea leo ofisini kwake jijini Dar es salaam.Balozi wa Cuba nchini Mheshimiwa Jorge Lopez Tormo akifafanua jambo wakati akizungumza na Naibu Spika Mhe. Dkt Tulia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Spika na Naibu Spika wa Bunge la Burundi ikulu jijini Dar es salaam

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na spika wa Bunge la Burundi Mhe.Paschal Nyabenda(kushoto) na Naibu Spika wa Bunge la Burundi Mhe.Agathon Rwasa ikulu jijini Dar es Salam leo mchana.Spika huyo na ujumbe wake walimtembelea Rais Kikwete leo.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Burundi Mhe. Paschal Nyabenda, naibu Spika wa Bunge hilo Mhe. Agathon Rwasa pamoja wajumbe wengine ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

MO atembelewa na Balozi wa Canada nchini, Mh. Alexandre Leveque

IMG-20150821-WA0046

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji (kushoto) katika picha ya pamoja na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Mhe Alexandre Leveque aliyemtembelea ofisini kwake mara baada ya mazungumzo.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, GEORGE SIMBACHAWENE, ATEMBELEWA NA BALOZI WA UJERUMANI NCHINI TANZANIA

 Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene, wa kwanza kushoto akizungumza na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania, Regine Hess  wa pili kushoto aliyefika kujitambulisha ofisini kwa Waziri Simbawene kwenye Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma leo.   Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene, wa kwanza kushoto akifafanua jambo mbele ya Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania, Regine Hess  wa pili kushoto aliyeambatana na ujumbe wake walipofika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani na Cuba kufungua balozi

Kila nchi imekubali kufungua afisi ya ubalozi katika miji mikuu yao.Ni hatua kubwa katika kurejesha uhusiano kati pande mbili

 

10 years ago

GPL

DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA CUBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajiliya mazungumzo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo… ...

 

10 years ago

Michuzi

DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA CUBA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajiliya mazungumzo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif Iddi awatoa hofu madaktari wa Cuba, Zanzibar

377

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa pole Kiongozi wa Madaktari wa Cuba Profesa Ulpiano Nyumbani kwake Vuga Mjini Zanzibar baada ya kuvamiwa na majambazi jana usiku yeye na wenzake  maeneo kati ya Kikwajuni na SUZA.

Kamanda wa Polisi Mkoa Mjini Magharibi  Msaidizi Kamishna wa Polisi { ACP } Mkadam Khamis Mkadam alisema Jeshi la Polisi Mkoa huo linawashikilia  watu wawili  miongoni mwa majambazi wanaotuhumiwa kuhusika na uvamizi wa Madaktari Bingwa wa Cuba  katika...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI ZOKA AWASILISHA HATI ZA UWAKILISHI KWA MAKAMU WA RAIS WA CUBA

Balozi wa Tanzania nchini Canada na Cuba Mhe. Jack Mugendi Zoka aliwasilisha Hati za Uwakilishi kwa Makamu wa Rais wa Cuba Mhe. Salvador Valdes Mesa katika Ikulu ya nchi hiyo ijulikanayo kama ´Revolutionary Palace´.
Mhe. Balozi aliambatana na Mama Balozi Bibi Esther Zoka na Afisa wa Ubalozi Bw. Paul Makelele. Sherehe hiyo pia ilihudhuriwa na Mkuu wa Itifaki wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Cuba, Mhe. Balozi Miguel Lamazares Puello na Maafisa wengine kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na ofisi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani