MO atembelewa na Balozi wa Canada nchini, Mh. Alexandre Leveque
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji (kushoto) katika picha ya pamoja na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Mhe Alexandre Leveque aliyemtembelea ofisini kwake mara baada ya mazungumzo.
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAZIRI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, GEORGE SIMBACHAWENE, ATEMBELEWA NA BALOZI WA UJERUMANI NCHINI TANZANIA
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene, wa kwanza kushoto akizungumza na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania, Regine Hess wa pili kushoto aliyefika kujitambulisha ofisini kwa Waziri Simbawene kwenye Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma leo. Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene, wa kwanza kushoto akifafanua jambo mbele ya Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania, Regine Hess wa pili kushoto aliyeambatana na ujumbe wake walipofika...
10 years ago
MichuziBALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO
Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka akiwakilisha hati ya utambulisho kwa Gavana Mkuu wa Canada Mhe. David Johnson siku ya Jumatano Februari 18, 2015 Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka akiwa katika picha ya pamoja na Gavana Mkuu wa Canada Mhe. David Johnson. Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka na mke wake Bi. Esther Zoka wakiwa katika picha ya pamoja na Gavana mkuu wa Canada Mhe. David Johnson. Balozi mpya wa...
10 years ago
GPLDKT. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI CANADA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada Jack Mugendi Zoka alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais baada ya kuteuliwa rasmi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada Jack Mugendi… ...
10 years ago
MichuziDkt. Shein akutana na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada,leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada Jack Mugendi Zoka alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo kwa Rais baada ya kuteuliwa rasmi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada Jack Mugendi Zoka aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha kwa Rais baada ya kuteuliwa. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...
10 years ago
MichuziJack Mugendi Zoka ateuliwa kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Bw. Jack Mugendi Zoka (pichani) kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada.
Bw. Zoka anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Alex Masinda, ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Zoka alikuwa Ofisa Mwandamizi Ofisi ya Rais Ikulu.
IMETOLEWA NAKATIBU MKUUWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFADar es Salaam,Septemba 30, 2014
Bw. Zoka anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Alex Masinda, ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Zoka alikuwa Ofisa Mwandamizi Ofisi ya Rais Ikulu.
IMETOLEWA NAKATIBU MKUUWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFADar es Salaam,Septemba 30, 2014
10 years ago
MichuziDKT SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA Jack Mugendi Zoka
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada Jack Mugendi Zoka alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais baada ya kuteuliwa rasmi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada Jack Mugendi Zoka aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais baada ya kuteuliwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...
9 years ago
MichuziNAIBU SPIKA ATEMBELEWA NA BALOZI WA CUBA
Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt Tulia Ackson akimshuhudia Balozi wa Cuba nchini Mheshimiwa Jorge Lopez Tormo akisaini kitabu cha wageni wakati alipomtembelea ofisini kwake jiiji Dar es salaam.Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt Tulia Ackson akifafanua jambo wakati akizungumza na Balozi wa Cuba nchini Mheshimiwa Jorge Lopez Tormo aliyemtembelea leo ofisini kwake jijini Dar es salaam.Balozi wa Cuba nchini Mheshimiwa Jorge Lopez Tormo akifafanua jambo wakati akizungumza na Naibu Spika Mhe. Dkt Tulia...
11 years ago
MichuziRais Kikwete akutana na Balozi wa Canada nchini Tanzania Ikulu jijini Dar leo,Pia akutana na Mwenyekiti wa SAGCOT Fund
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Balozi wa Canada nchini,Mh. Alexandre Leveque ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Canada nchini,Mh.Alexandre Leveque ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mwenyekiti wa SAGCOT Fund Balozi Ami Mpungwe baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salam leo.(picha na Freddy Maro).
10 years ago
VijimamboBALOZI SEIF AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI JAPAN NA BALOZI MALAWI NCHINI TANZANIA, PIA AZUNGUMZA NA GAVANA MKUU WA JIMBO LA SIUSTAN NA BALACHESTAN
Balozi Mpya wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Japan Balozi Batilda Buriani akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika kuaga rasmi baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo na Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkaribisha Balozi Mpya wa Malawi Nchini Tanzania Bibi Hawa Ndolowe aliyefika Ofisini kwake kujitambulisha rasmi.
Balozi Seif akisalimiana na Gavana Mkuu wa Jimbo la Siustan na Balachestan...
Balozi Seif akisalimiana na Gavana Mkuu wa Jimbo la Siustan na Balachestan...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania