Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Naibu Waziri wa Afya wa Iran apatwa na Corona


Naibu Waziri wa Afya wa Iran amethibitisha kuwa amepatwa na virusi vya Corona lakini amesisitiza kuwa, nchi hii itashinda janga la virusi hivyo wiki chache zijazo.

Iraj Harirchi amesema, kwa sasa amewekwa katika karantini ambako anapewa matibabu na kwamba hali yake ya kiafya ni nzuri kwa ujumla japokuwa anasumbuliwa na homa na uchovu.

Harirchi amesema ana uhakika kwamba, Iran itashinda mlipuko wa virusi vya Corona katika wiki kadhaa zijazo akisisitiza kuwa, nchi hii ina zana na matibabu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Afya aipongeza Benki ya CRDB uwezeshaji Sekta ya Afya

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kulia) pamoja na Wakurugenzi wengine wa Benki hiyo, wakimsikiliza Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel wakati wa Kongamano la Uwezeshaji Sekta ya Afya "Afya Forum" lililoandaliwa na Benki ya CRDB. Kongamano hilo lilifanyika kwa njia ya mtandao ambapo zaidi ya watoa huduma za afya 500 walihudhuria.
======    ======     ======


• Mikopo zaidi kutolewa kwa watoa huduma sekta za afyakusaidia ununuzi wa vifaa tiba, dawa...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA WAGONJWA WA MARADHI YA KIPIDUPINDU KATIKA KITUO CHA AFYA KARAKANA



 Baadhi ya Wagonja walifikishwa Hospitali hapo kwa ajili ya kupatiwa matibabu  baada ya kupata maradhi ya matumbo ya kuharisha (kipindupindu). Mwandishi wa Habari Rahma Suleiman akichukua maelezo kwa Mgonjwa aliyefika katika kituo hicho mara baada ya kupata hujambo. Naibu Waziri wa Afya  Mahmoudu Thabiti Kombo akionyesha ramani ya maeneo yanayoathiriwa zaidi na ugonjwa wa maradhi ya matumbo.Naibu Waziri wa  Afya  Mahmoudu Thabiti  Kombo akipata maelezo kwa Dkt. Dhamana  Fadhili Ramadhan...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA KATIKA WITUO VYA AFYA MKOA WA KASKAZINI ''A'' UNGUJA

Mkuu wa kituo cha Afya cha Mkokotoni Mcha Haji Makame akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo (alievaa miwani) alipofanya ziara ya kutembelea vituo vya afya vya Wilaya Kaskazini A. Wa kwanza (kushoto) mwakilishi wa WHO Zanzibar Dkt. Andymicheel Ghirmany akifuatiwa na mwakilishi wa UNICEF Zanzibar Bibi Fransisca.Mkuu wa kituo cha Afya Mkokotoni akiwaonyesha wawakilishi wa UNICEF Bibi Fransisca na mwenzake wa WHO Ghirmany jiko la kuchoma takataka za Hospitali...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR MAHMOUD THABIT KOMBO AFUNGA MAFUNZO YA SIKU 10 YA MFUMO WA UKUSANYAJI TAARIFA ZA AFYA

 Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akimkabidhi cheti mmoja ya washiriki wa mafunzo ya D.H.I.S  Osama Al Zubair  kutoka Sudan wakati wa kufunga mafunzo hayo katika Hoteli ya Double Tree Nungwi, Kaskazini Unguja.  Mgeni rasmi katika ufungaji wa mafunzo ya D.H.I.S Mahmoud Thabit Kombo akiwahutubia washiriki wa mafunzo hayo kutoka Nchi za Afrika, Marekani, Ujerumani na Mashirika wahisani katika Hoteli ya Double Tree Nungwi. Mratibu wa mafunzo ya mfumo wa ukusanyaji taarifa za...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA KITUO CHA AFYA MIWANI KUONA CHANGAMOTO WANAZOKABILIANA NAZO KITUONI HAPO.

    x5Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na wananchi wa kijiji cha Miwani baada ya kusikiliza matatizo yanayokikabili kituo cha Afya cha Miwani.x4Naibu Waziri wa Afya Mhmoud Thabit Kombo akiwasilikiza wananchi wa Miwani wakati alipofanya viara ya kutembelea kituo cha Afya cha Kijiji hicho kujua matatizo yanayokikabili kituo hicho,  (kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Mohammed Saleh Jidawi. x6Daktari dhamana Kanda ya Unguja Dkt. Fadhil Mohd Abdalla akitoa ufafanunuzi...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE MGENI RASMI MAADHIMISHO YA TAIFA LA IRAN

 Balozi wa Iran nchini Tanzania,Mh.Mehdi Aghajafari akimpokea Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh.Dkt.Mahadhi Juma Maalim (Mb) alipowasili katika hafla ya kusherehekea siku ya Taifa la Iran iliyofanyika kwenye makazi ya Balozi huyo Jijini Dar es Salaam jana usiku.Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh.Dkt.Mahadhi Juma Maalim (Mb) akizungumza mbele ya wageni mbalimbali walioalikwa katika hafla ya siku ya Taifa la Iran iliyofanyika kwenye makazi...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA WATAALAM WA AFYA KUJADILI HALI YA MWENENDO WA UGONJWA WA CORONA

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.

 

9 years ago

Habarileo

Naibu waziri afya amtembelea Pengo

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamis Kigwangala amemtembelea na kumjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA NAIBU WAZIRI WA AFYA

Dkt. Godwin Oloyce Mollel

Na Mwandishi Wetu

CHATO, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli amemteua, Dkt. Godwin Oloyce Mollel ambaye ni Mbunge wa Siha kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.Hayo yamebainishwa muda huu na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu mjini Chato, Gerson Msigwa.Kwa mujibu wa taarifa hiyo, uteuzi wa Dkt. Mollel unaanza leo tarehe 16 Mei, 2020.Dkt. Mollel anachukua nafasi ya Dkt. Faustine Engelbert...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani