Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NANI MTANI JEMBE

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

NANI MTANI JEMBE?......MNYAMAAAAAA!

Haruna Shamte akiwa amenyanyua juu Kombe la Mtani Jembe alilokabidhiwa na Mgeni Rasmi, Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe (mwenye suti nyeusi kulia) baada ya kuwashushia kichapo cha mabao 3-1 Watani Wao, Yanga SC katika mechi ya Nani Mtani Jembe iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar leo jioni.
Mshambuliaji wa Simba aliyepeleka kilio Jangwani kwa kuwatungua mabao mawili, Amissi Tambwe akishangilia… ...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA NANI MTANI JEMBE


Find more photos like this on Global…

 

10 years ago

GPL

Nani mtani jembe: tumuachie Mungu

Mchezaji wa Yanga, Kpah Sherman. Na Wilbert Molandi  
KOCHA Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri, amekiangalia kikosi chake kwa makini na ghafla akachukua maamuzi magumu ya kuwaanzisha wachezaji wapya wawili waliotua kwa ajili ya majaribio, kwenye mechi ya Nani Mtani Jembe. Wachezaji hao waliotua Jumatano kwenye kambi yao waliyoweka huko Unguja, Zanzibar ni Simon Sserunkuma, 18, aliyetokea Express na Juuko Murushid...

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA 2 YANGA 0 NANI MTANI JEMBE

 Awadh Juma na Jonas Mkude wakishangilia moja ya magoli ya Simba. (Picha ya maktaba).Mabingwa wa Kombe la Nani Mtani Jembe, Simba SC ya Msimbazi jijini Dar es Salaam wameshawanyanyuka vitini kufuatia bao la kuongozwa lililotumbukizwa kimiani na Mchezaji wake Awadh Juma.
Goli la pili la Simba limeweka wavuna na Elius Maguli na kuifanya Yanga kuzidi kutweta huku Simba wakizidi kuliandama lango la Yanga.

Mchezo huo wa kuania kombe la Nani Mtani Jembe 2014 bado unaendelea Uwanja wa Taifa jijini...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA MECHI YA NANI MTANI JEMBE

Mashabiki wa Yanga wakishangilia. Haruna Shamte akiambaa na mpira. Uhuru Selemani…

 

10 years ago

Michuzi

hayaaa! hayaaaaaa! nani mtani jembe leo???

Mechi ya Nani Mtani Jembe namba 2 inafanyika jioni hii ya Jumamosi katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam ambapo itawakutanisha Young Africans Sports Club dhidi ya Simba SC huku timu  zote zikitarajiwa kuwatumia wachezai wao wapya zilizowasajili katika kipindi cha dirisha dogo.

 

11 years ago

Mwananchi

Viingilio pambano la promosheni ya Nani Mtani Jembe

>Homa ya pambano la mahasimu wa soka nchini imezidi kupanda baada ya jana Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuweka wazi viingilio vya mchezo huo ambao utakuwa na upinzani mkali.

 

10 years ago

Vijimambo

MPIRA UKWISHA SIMBA 2 YANGA 0 NANI MTANI JEMBE


Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia bao la pili lililofungwa na Elias Maguli katika dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza. Mabao yote ya Simba yamefungwa katika kipindi cha kwanza huku bao la kwanza likifungwa na Awadh Juma katika dakika ya 30.Mashabiki wa Simba wakishangilia moja ya mabao yaliyofungwa na timu yao.Andreu Coutihno, akimiliki mpira katikati ya mabeki wa Simba...Mchezaji mpya wa Yanga, kutoka nchini Liberia, Kpah Sherman. akisomba kijiji cha mabeki wa Simba.... Hadi hivi sasa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBL yajivunia msisimko mechi Nani Mtani Jembe

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) iliyoratibu kampeni ya Nani Mtani Jembe iliyoanza Oktoba 6 na kuhitimishwa juzi kwa mechi ya Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani