NAPE ALIVYOÃœNGURUMA WILAYANI MBULU MKOANI MANYARA
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYANI MBULU MKOANI MANYARA
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akizawadiwa meza yenye ramani ya Tanzania na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya rufaa ya Haydom,Dkt.Olav Espegren. Kinana pia alizungumza na Uongozi sambamba na Watumishi wa hospitali hiyo ya Rufaa ya Haydom wilayani Mbulu,mkoani Manyara.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akimshukuru Diwani wa kata ya EShkesh kupitia chama cha CUF,Ndugu Naftari Kitandu alipohudhuria mkutano wa hadhara wa CCM,katika shule ya sekondari ya Yaeda chini,wilayani Mbulu mkoani...
10 years ago
MichuziAirtel yazindua Mnara wa Mawasiliano Mbulu Mkoani Manyara
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Mbulu Joseph Geheri akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Mnara wa huduma za Mawasiliano katika kijiji cha Aicho wilayani Mbulu Mkoani Manyara ambapo sasa wakazi wa kijiji hicho na jijini vya jirani wameunganishwa na huduma za simu za mkononi za Airtel. Akishuhudia ni Meneja Mauzo wa Airtel Kanda ya Kaskazini Brightone Majwala pamoja na wakazi wa Kijiji hichoMeneja Mauzo wa Airtel Kanda ya Kaskazini Brightone Majwala akiwa na Kaimu Mkurugenzi...
11 years ago
MichuziFARM AFRICA YAKABIDHI PIKIPIKI 10 KWA HALMASHAURI ZA WILAYA ZA BABATI NA MBULU MKOANI MANYARA
Farm Africa kupitia mradi wake Usimamizi Endelevu Mfumo wa Ikolojia wa Msitu wa Nou (SNFEMP) na kwa ufadhili wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekabidhi pikipiki 10 kwa halmashauri za wilaya za Mbulu na Babati.
Pikipiki hizo 10 aina ya Honda XL zina thamani ya jumla ya Shilingi Milioni Sabini na Tano. Maafisa Misitu wa wilaya za Babati na Mbulu wakiwa na pikipiki walizokabidhiwa. Akipokea pikipiki hizo katika hafla fupi iliyofanyika ofisi ya Farm Africa, Dareda Babati, Ijumaa tarehe 14...
Pikipiki hizo 10 aina ya Honda XL zina thamani ya jumla ya Shilingi Milioni Sabini na Tano. Maafisa Misitu wa wilaya za Babati na Mbulu wakiwa na pikipiki walizokabidhiwa. Akipokea pikipiki hizo katika hafla fupi iliyofanyika ofisi ya Farm Africa, Dareda Babati, Ijumaa tarehe 14...
11 years ago
MichuziKINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI BABATI,KESHO KUUNGURUMA WILAYANI KITETO MKOANI MANYARA
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia Wananchi,katika mkutano wa hadhara wakati akihitimisha ziara yake katika wilaya ya Babati,mkoani Manyara.Mkutano huo umefanyika jioni ya leo kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati,ukihudhuriwa na maelfu ya Wananchi.Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,kwenye ziara ya siku saba mkoani Manyara,ya Kukagua kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Chama,kukagua...
11 years ago
MichuziKINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI KITETO,LEO AELEKEA WILAYANI SIMANJIRO MKOANI MANYARA.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akitazama sehemu maalum ya kunyweshea maji mifugo,ambayo yeye mwenyewe aliiizindua
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akimtwisha ndoo ya maji mama wa jamii ya kimasai,mara baada ya kuzindua mradi wa maji safi na salama wenye thamani ya shilingi milioni 200 na zaidi, katika kijiji cha Ilela kata ya Esekii wilayani Kiteto mkoani Manyara.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwasalimia wananchi mara baada ya kupokelewa katika kijiji cha Irkiushbor,wilaya ya...
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwasalimia wananchi mara baada ya kupokelewa katika kijiji cha Irkiushbor,wilaya ya...
10 years ago
MichuziTafrija ya polisi ya kuagana Mirerani wilayani simanjiro mkoani Manyara
Aliyekuwa Mkuu wa Kituo cha Polisi Mirerani, Wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara, Mkakibu wa polisi Ally Mohamed Mkalipa, ambaye ni Mkuu wa polisi (OCD) Wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha, akizungumza wakati wa sherehe ya kuagwa kwake Mirerani juzi. Mkuu wa Kituo cha Polisi Mirerani, Wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara, Mkakibu Msaidi wa polisi, ASP Lwitiko Noman Kibanda, akicheza muziki na mke wake kwenye sherehe ya kukaribishwa kwake na kumuaga aliyekuwa mkuu wa kituo hicho SP Ally Mohamed...
11 years ago
MichuziTaswira za PASAKA Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara
Wanakwaya wa Mtakatifu Cecilia wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mama wa Rozali Takatifu wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiimba baada ya kumaliza misa ya Pasaka kanisani hapo leo asubuhi.
Padri Modestus Makiluli, wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mama wa Rozali Takatifu wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara,akiendesha misa ya ubatizo na komuniyo kwenye kanisa hilo wakati wa sikukuu ya Pasaka leo
Familia ya...
Familia ya...
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI BABATI LEO, AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI MANYARA
Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ukivuka katika mto Magara mapema leo asubuhi kuelekea wilayani Babati mkoani Manyara.Kinana ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi,siasa na Uenezi Nape Nnauye,wakiwa kwenye ziara ya siku saba ya kukagua kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Chama,kukagua maandalizi ya uchaguzi ya serikali za mitaa,kusikiliza kero za wananchi na kuzitafututia ufumbuzi.
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Magara...
10 years ago
Mwananchi14 Jun
KUELEKEA MAJIMBONI : Manyara (ii): Ngoma droo majimbo ya Kiteto, Mbulu na Simanjiro
Jimbo la Kiteto ni eneo lote la mamlaka ya Wilaya ya Kiteto likiwa na kata 23, vijiji 64 na vitongoji 285. Ndani ya maeneo haya kuna mamlaka mbili za miji midogo, kuna ile ya Kibaya na nyingine ikijulikana kama Matui. Kiteto ina jumla ya wakazi 244,669, wanaume ni 120,233, wanawake 124,436 na kuna wastani wa watu watano kwa kila kaya.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania