NAPE AUNGURUMA SHINYANGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-P4SvtN7qork/Uw5uOtqMfgI/AAAAAAAAMBc/qoxQDEgMm3Q/s1600/11.jpg)
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiangalia matembezi ya mshikamano wakati yakiingia uwanjani kabla hajaanza kuhutubia wakazi wa Shinyanga mjini.  Wakazi wa Shinyanga mjini wakiwa na Furaha ya kuwakaribisha wanachama wapya ambao walikuwa madiwani kwa kupitia Chadema ambao tarehe 25 walijiuzuru na tarehe 26 Februari 2014 kujiunga na CCM.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-P4SvtN7qork/Uw5uOtqMfgI/AAAAAAAAMBc/qoxQDEgMm3Q/s72-c/11.jpg)
NAPE AUNGURUMA SHINYANGA AWAZOA WAWILI KUTOKA CHADEMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-P4SvtN7qork/Uw5uOtqMfgI/AAAAAAAAMBc/qoxQDEgMm3Q/s1600/11.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-dj7c5qQCxBs/Uw5uSYgzp6I/AAAAAAAAMBk/JdCh12B9MgY/s1600/12.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-nrNrbUbIu_Y/Uw5uTJX3yzI/AAAAAAAAMBs/H2ynXgXpwk0/s1600/13.jpg)
5 years ago
CCM Blog![](https://img.youtube.com/vi/ivFHidohUXI/default.jpg)
11 years ago
Michuzi19 May
9 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA ZIARA SOKO KUU SHINYANGA.
9 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA MKUTANO NA AKINA MAMA ZAIDI YA 300 KUPAMBA NA KIPINDUPINDU SHINYANGA
Hapa ni katika ukumbi wa NSSF mjini Shinyanga ambako wanawake/akina mama zaidi ya 300 wa manispaa ya Shinyanga wamekutana kujadili namna ya kupambana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umeukumba mkoa wa Shinyanga.Mkutano huo umeitishwa na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro.Akina mama hao waliojitokeza kwa wingi leo jioni Oktoba 06,2015 wameweka mikakati mbalimbali ya kutokemeza ugonjwa kipindupindu ambapo Jana pekee wagonjwa 9 wamelazwa katika kambi maalum jirani na hospital ya...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-4iKpyC2XM7w/VilU7J2HeHI/AAAAAAAIBxg/fuisrGbLAU0/s72-c/unnamed%2B%252819%2529.jpg)
JK AUNGURUMA KISIWANI PEMBA
![](http://4.bp.blogspot.com/-4iKpyC2XM7w/VilU7J2HeHI/AAAAAAAIBxg/fuisrGbLAU0/s640/unnamed%2B%252819%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-xEBVsF3PnRM/VilU7Gwr5EI/AAAAAAAIBxc/Am8P1dd42to/s640/unnamed%2B%252836%2529.jpg)
11 years ago
Dewji Blog03 Jun
Kinana aunguruma Mererani
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Mererani wilaya ya Simanjiro ambao wengi ni wachimbajI wa wadogo wadogo wa madini kwenye mkutano wake mjini Mererani wilaya ya Simanjiro Manyara.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Mererani ambao aliwaambia vyama vya Upinzania ni sawa na Jogoo kwani hata awike vipi hawezi fungua mlango na kwa sababu vyama hivyo havipo kwa ajili ya maendeleo ya wananchi basi vinelekea kufa kwani havina sera mpya...
10 years ago
MichuziMrema aunguruma Vunjo