NAPE NNAUYE ASHINDA UBUNGE JIMBO LA MTAMA
Nape Nnauye
Katibu wa Itikadi na uenezi CCM Nape Nnauye ameshinda kiti cha Ubunge jimbo la Mtama, jimbo lililokua chini ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe.
Nape Nnauye ameweza kushinda kwa jumla ya kura 28,110, Methew mgombea wa CHADEMA amepata kura 13,918 na Mchinjika wa CUF amepata kura 10,547
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fLYKLgogI2c/VmfjO08CriI/AAAAAAAAsHI/IhU3fDE8JJI/s72-c/6.jpg)
MBUNGE WA JIMBO LA MTAMA NAPE NNAUYE ASHIRIKI KUFANYA USAFI NA WANANCHI JIMBONI KWAKE
![](http://4.bp.blogspot.com/-fLYKLgogI2c/VmfjO08CriI/AAAAAAAAsHI/IhU3fDE8JJI/s640/6.jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Yahaya Nawanda (mwenye fulana nyeusi) akishiriki usafi pamoja Mbunge wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye na wakazi wa jimbo hilo ikiwa sehemu ya kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli inayowataka wananchi kushiriki usafi wa mazingira kwenye siku ya kilele cha kusheherekea uhuru wa Tanzania, Desemba 9.
![](http://4.bp.blogspot.com/-iKvu9VyK1Bw/VmfjPhuoS8I/AAAAAAAAsHU/i8Lg2rqs9ag/s640/7.jpg)
Usafi ukiendelea Mtama ambapo wananchi wamesafisha mitaro yote pamoja na maeneo ya sokoni.
![](http://2.bp.blogspot.com/-CKcrEgeg4gc/VmfjNy2uZJI/AAAAAAAAsHE/u-5iiOf2B84/s640/11.jpg)
Mbunge wa Jimbo la...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/rk6vT442nE8/default.jpg)
9 years ago
Dewji Blog15 Nov
#HapaKaziTu: Mbunge mteule wa jimbo la Mtama, Nape Nnauye aanza kutekeleza kwa vitendo jimboni
Mbunge mteule wa Jimbo la Mtama, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape akisaini mkataba wa kupata vifaa vya huduma za afya mbele ya Mwambata wa Siasa wa Ubalozi wa China nchini Tanzania Mis Song Rui katika ofisi za Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa China.
Na Andrew Chale, Modewjiblog
Mbunge Mteule wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye ameanza kazi ya kuwatumikia wakazi wa jimbo hilo baada ya kusaini mkataba maalum na Ubalozi wa China nchini wa kusaidia vifaa vya huduma ya Afya kwa jimbo la...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZKr5QOupEPM/Vkcn3hCoboI/AAAAAAAArUg/kej4rJCfD04/s72-c/2.jpg)
NAPE AANZA KULIFANYIA KAZI JIMBO LA MTAMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZKr5QOupEPM/Vkcn3hCoboI/AAAAAAAArUg/kej4rJCfD04/s640/2.jpg)
Mbunge Mteule wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye ameanza kazi ya kuwatumikia wakazi wa jimbo hilo baada ya kusaini mkataba maalum na Ubalozi wa China nchini wa kusaidia vifaa vya huduma ya Afya kwa jimbo la Mtama.
Ikumbukwe katika kampeni...
10 years ago
Habarileo29 Jan
Mwanafunzi kuwania ubunge jimbo la Mtama
MWANAFUNZI wa stashahada ya uzamili ya utawala wa huduma za umma katika Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), Malick Malick ametangaza kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Mtama mkoani Lindi.
9 years ago
Mwananchi27 Oct
Mabula ashinda ubunge jimbo la Nyamagana
9 years ago
Vijimambo26 Oct
11 years ago
Michuzi07 Apr
RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA KWA KISHINDO UBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE
![](https://2.bp.blogspot.com/-K7hEfHq8qac/U0GqM21QUPI/AAAAAAABeag/fu28H1wc3cE/s1600/IMG_7134.jpg)
Na John Bukuku Ridhiwani Kikwete aliyekuwa mgombea ubunge uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kupitia CCM ameibuka kidedea kwa asilimia 86.61 katika uchaguzi huo kwa kuwamwaga wagombea wengine kutoka vyama vinne vya upinzani.
Matokeo hayo rasmi yametangazwa usiku wa kuamkia leo April 7, 2014 majira ya saa nane usiku katika shule ya sekondari Chalinze na Msimamizi...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-cvP3R1Uz9I8/Vb0G-TEbTzI/AAAAAAAHtI0/TxwNhhSafvs/s72-c/SAM_0116.jpg)
Mwigulu Nchemba Ashinda kwa 99% kura za maoni Ubunge jimbo la Iramba
![](http://1.bp.blogspot.com/-cvP3R1Uz9I8/Vb0G-TEbTzI/AAAAAAAHtI0/TxwNhhSafvs/s400/SAM_0116.jpg)
Masimba Mwigulu 88Jairo 1Kilimba 0Amon 0
MlandalaMwigulu 50Jairo 0Kilimba 3Amon0
Mang'ole Mwigulu 173Jairo 6Kilimba 0Amon 0
MSAIMwigulu 294Jairo 35Kilimba 59
MALUGAMwigulu 322Kilimba 5Jailo 0
UWANZAMwigulu 172Jairo 8Kirimba 23Amon 2
Nganguri
Mwigulu 727kilimba 2jairo 2Amon 0Mwigulu kashinda