Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NBAA yazidi kujipanga kuchangia ukuaji uchumi

BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu nchini (NBAA) imeahidi kuendelea kutoa mchango wake wa kitaaluma hapa nchini, ili kuhakikisha uchumi wa nchi unakua. Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA, Pius...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kipaumbele ni ukuaji uchumi wa wananchi

RAIS wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli amefungua Bunge la 11 na kuwataka watendaji kote nchini kuhakikisha wanashiriki katika vita ya kuondoa umasikini, ili ukuaji wa uchumi wa nchi uendane na ukuaji wa uchumi wa watu na kusisitiza kuongeza ajira kupitia viwanda.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TPSC Tanga chachu ya ukuaji wa uchumi

“MAFUNZO haya ni muhimu sana kwa viongozi wetu katika kuhakikisha wanasimamia fedha za walipa kodi ipasavyo.” Hiyo ni kauli ya Mkurugenzi wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) tawi...

 

10 years ago

GPL

WACHINA WAVUTIWA NA KASI YA UKUAJI WA UCHUMI

Naibu Katibu Mtendaji (Uchumi Jumla), Prof. Longinus Rutasitara (Wapili kushoto) akizungumza na Ugeni kutoka Tume ya Mipango na Maendeleo ya China wakati walipofanya ziara nchini. Kushoto ni Naibu Katibu Mtendaji (Biashara za Kimataifa na Mahusiano ya Kiuchumi), Bw. Paul Sangawe. Naibu Katibu Mtendaji (Biashara za Kimataifa na Mahusiano ya Kiuchumi), Bw. Paul Sangawe akizungumza wakati wa ziara hiyo.… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Sweden yafurahishwa na ukuaji wa uchumi wa Tanzania

IMGL1963

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo alipotembelea kiwanda cha METSO cha  kutengenezea vipuli vya mitambo ya gesi na mafuta katika jiji la Helsinki, Finland.(Picha na IKULU).

Serikali ya Sweden inaridhishwa na kiwango cha maendeleo ya kiuchumi ya Tanzania kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita na inadhamiria  kuinua ushirikiano  baina yake na Tanzania  ili kuleta maana zaidi katika maendeleo na kukua kwa uchumi kwa ujumla.

Waziri Mkuu wa Sweden Stefan Lofven amesema hayo  tarehe 4, Juni,...

 

11 years ago

Mwananchi

Utekelezaji duni wa mikakati wakwaza ukuaji uchumi

Hali ya uchumi wa Tanzania ni duni mno, mojawapo ya sababu inaelezwa kwamba ni kuwa na mikakati isiyo na utekelezaji.

 

9 years ago

Mwananchi

Ukuaji wa uchumi nchini washuka kwa asilimia 2.1

Kasi ya ukuaji wa uchumi nchini imeshuka kwa asilimia 2.1 katika robo ya kwanza ya mwaka huu.

 

5 years ago

Michuzi

Ukuaji wa uchumi unavyotegemea sekta ya mawasiliano ya simu za mkononi

TAKWIMU zinaonyesha kwamba Tanzania imepitia kipindi kizuri cha ukuaji wa kiuchumi katika muongo mmoja uliopita na kuifanya hivi sasa kuwa moja ya chumi zinazokua vizuri katika eneo la Afrika Mashariki.
Ripoti ya UK ThinkTank inaongeza kuwa mafanikio ya ukuaji wa kiuchumi Tanzania yamewezeshwa na juhudi za serikali kukuza sekta ya viwanda na kutengeneza mazingira bora ya uwekezaji katika sekta mbalimbali. 
Matokeo ya juhudu hizo yameifanya Tanzania kuwa mmoja ya wauzaji wakubwa nje wa dhahabu...

 

5 years ago

Michuzi

Majadiliano Sekta ya Umma na Binafsi Chachu Ukuaji wa Uchumi


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Binilith Mahenge (kulia) pamoja na Katibu Mtendaji wa Baraza la Biashara la Taifa, Dkt. Godwill Wanga (kushoto) baada ya uzinduzi wa Muongozo wa majadiliano kati ya sekta ya Umma na Binafsi katika ngazi ya Mikoa na Wilaya uliofanyika leo jijini...

 

11 years ago

Mwananchi

Sarafu moja kuchochea ukuaji wa uchumi Afrika Mashariki

Wengi wanaitazama hatua iliyochukuliwa na viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ya kuridhia kuanzishwa kwa sarafu ya pamoja ni sawa na kusukuma tofali kwenye kina kirefu cha maji bila kuwa na matarajio ya kulifikia tena tofali hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani