Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NBS: Thamani ya pato la taifa imepanda

Siku moja baada ya mwanasiasa mkongwe nchini kingumnge Ngombale Mwiru kusema uchumi wa nchi unadumaa  Shirika la Taifa la Takwimu limesema thamani ya Pato la  Taifa imepanda  hadi kufikia asilimia 7.9  kwa kipindi cha mwezi  Januari hadi Juni, mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU (NBS) YASEMA PATO LA TAIFA LIMEONGEZA KWA ASILIMIA 7.9

Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Morrice Oyuke akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam juu ya pato la Taifa kutokana na shughuli za Uchimbaji Madini, Mawe na Kokoto ziliongezeka kwa kasi ya asilimia 8.3 katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka 2015 ikilinganishwa na kasi ya ukuaji wa asilimia 6.4 katika kipindi kama hicho mwaka 2014. Kushoto ni Meneja wa Takwimu za Pato la Taifa Daniel Masolwa.Waandishi wa habari wakimsiliza...

 

9 years ago

Vijimambo

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU (NBS) YASEMA PATO LA TAIFA LIMEONGEZA KWA AILIMIA 7.9

 Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Morrice Oyuke (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa za pato la taifa robo ya pili ya mwaka kuanzia mwezi Aprili hadi Juni 2015. Kushoto ni Meneja Takwimu za Pato la Taifa, Daniel Masolwa. Mkutano na waandishi wa habari ukiendelea.
 Waandishi wa habari wakichukua taarifa hiyo.Wapiga picha wakichukua picha katika mkutano huo.

Na Dotto MwaibaleOFISI ya Taifa ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yazindua rasmi usambazaji takwimu za pato la taifa, pato la mwanachi laongezeka

Takwimu -1

Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (katikati) akizindua rasmi Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007  jijini Dar es salaam.

Na Aron Msigwa – MAELEZO

Serikali imesema kuwa Pato la Taifa kwa mwaka 2007 limeongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 26.8  ikilinganishwa na trilioni 20.9 za mwaka 2001, ambapo wastani wa pato la mwananchi mmoja mmoja limeongezeka kutoka shilingi milioni1,186,200/= mwaka 2001 hadi shilingi milioni 1, 561,050/= mwaka 2013. 

 Akizindua...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI TAKWIMU WA PATO LA TAIFA, PATO LA MWANACHI LAONGEZEKA.

unnamed Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (katikati) akizindua rasmi Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007 leo jijini Dar es salaam. unnamed1 Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (kulia) akimkabidhi Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servicius Likwelile chapisho la lenye Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007 wakati wa uzinduzi wa usambazaji wa takwimu hizo leo jijini Dar es salaam. unnamed2Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI TAKWIMU ZA PATO LA TAIFA, PATO LA MWANACHI LAONGEZEKA

Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (katikati) akizindua rasmi Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007 leo jijini Dar es salaam. Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (kulia) akimkabidhi Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servicius Likwelile chapisho la lenye Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007 wakati wa uzinduzi wa usambazaji wa takwimu hizo leo jijini Dar es salaam.
BOFYA HAPA KWA HABARI NA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA YA PATO LA TAIFA KWA ROBO YA KWANZA YA MWAKA,JANUARY-MACHI 2014

 Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Morice Oyuke (katikati) akitoa ufafanuzi mbalimbali katika mkutano huo. Kushoto ni  Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Idara ya Uchumi, Stephen Kirama na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Mipango wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika, Oswald Ruboha.
  Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Morrice Oyuke (wa tatu kushoto), akiwa  na wadau wa uchumi katika mkutano huo. Kutoka kushoto...

 

9 years ago

StarTV

Pato la Taifa la ongezeka

Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS imesema thamani ya pato la taifa kwa mwaka 2015 inakadiriwa kuwa Shilingi Bilioni 89 na idadi ya watu kuwa zaidi ya milioni 48 wastani wa pato la mwananchi likitazamiwa kuwa zaidi ya asilingi milioni moja.

NBS imesema thamani hiyo itaweza kufikiwa iwapo hakutakuwa na misukosuko ya kiuchumi katika sekta mbalimbali za maendeleo.

Kwa mujibu wa ofisi ya taifa ya takwimu, katika kipindi cha January hadi Juni 2015 pato la taifa ni trililion 45.5 ikilinganishwa na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Pato la taifa, umaskini vyaongezeka

LICHA ya kuwepo kwa malalamiko ya umaskini wa kipato kwa wananchi, Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema pato la taifa limeongezeka kwa pointi tatu. Pato hilo limeongezeka katika robo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani