Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nchi gani itatembeza kichapo Brazil?

Wandishi wa BBC wachambua makundi yote na pia kutabiri timu gani wanadhani itatwaa kombe la dunia wakati huu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Waafrika tunatumia sigara gani Brazil?

Waafrika tunatumia sigara gani Brazil? ni swali ambalo tajiri wa Liverpool, John Henry aliwauliza mabosi wa Arsenal baada ya kuongeza Pauni moja tu katika dau la pauni 40 milioni wakati wakijaribu kumnunua mshambuliaji wao wa kimataifa wa Uruguay, Luis Suarez.

 

11 years ago

CloudsFM

UKIKUTANA NA MHESHIMIWA RAIS WA NCHI UTAMUELEZA SHIDA YAKO GANI?

Kwa upande wa Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz hivi karibuni alipoenda nchini Marekani alipata nafasi ya kukutana na rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania,Dr Jakaya Mrisho Kikwete na alipoulizwa akamwambia shida yake ni kufanya kolabo na wasanii wakubwa, ambapo rais Kikwete alimkutanisha Diamond na mdau mkubwa wa muziki aliyewahi kuwa rais wa record label kubwa ya Def Jam, na makamu wa rais wa Island Def Jam.Mchana huu Diamond anatarajia kupaa kuelekea South Africa kwa ajili ya tuzo za...

 

5 years ago

BBCSwahili

Nchi za SADC ziko tayari kiasi gani kudhibiti virusi vya corona?

Mawaziri wa afya wa SADC waweka mikakati ya kukabiliana na virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Nchi gani zinafanya vizuri katika kupima watu?

Nchi za Afrika zinakabiliwa na changamoto katika hatua ya kupima watu kwa halaiki kubaini ikiwa wamepata maambukizi ya virusi vya corona au la

 

11 years ago

TZToday

Tazama nchi gani watakuwa Majirani zako wapya kama Pangea ikiunganika

Tazama nchi gani watakuwa Majirani zako wapya kama Pangea ikiunganika
(Map of Pangea With Current International Borders)

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Nchi zinazoongozwa na wanawake wametumia mikakati gani kukabiliana na janga hili?

Baadhi ya mikakati inayotumiwa na wanawake kukabiliana na janga la corona kwa nchi zinazoongozwa na wanawake

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Vitu gani tunaweza kujifunza kwa nchi ambazo zimepambana mapema na corona?

Kuna uwezekano mkubwa wa kutokea kwa wimbi la pili baada ya kulegezwa kwa masharti

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Brazil ni nchi ya pili iliyopitisha vifo 50,000

Ongezeko la mzozo wa kisiasa limechangia masaibu ya Brazil, siku kadhaa baada ya kuthibitishwa kuwa zaidi ya watu miulioni moja wanaugua Covid-19.

 

5 years ago

Michuzi

BRAZIL; NCHI YA TANO KWA UKUBWA DUNIANI IKIWA NA AIRPORT ZAIDI YA 700


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
BRAZIL ni nchi kubwa katika bara la Amerika ya Kusini, huku jina la nchi hiyo ikitokana na mti uliojulikana 'Brazilwood' kireno inaitwa Brasil ambayo ni lugha rasmi nchini humo, Brazil ni nchi pekee inayozungumza Kireno Amerika Kusini huku ikiwa na watu zaidi ya milioni 200 na imepakana na nchi zote za Amerika Kusini isipokuwa Chile na Ecuador.
 Brazil ilikuwa koloni ka wareno kwa miaka 322 kabla ya kupata uhuru wake 1822, na imekua nchi ya mwisho kabisa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani