UKIKUTANA NA MHESHIMIWA RAIS WA NCHI UTAMUELEZA SHIDA YAKO GANI?
Kwa upande wa Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz hivi karibuni alipoenda nchini Marekani alipata nafasi ya kukutana na rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania,Dr Jakaya Mrisho Kikwete na alipoulizwa akamwambia shida yake ni kufanya kolabo na wasanii wakubwa, ambapo rais Kikwete alimkutanisha Diamond na mdau mkubwa wa muziki aliyewahi kuwa rais wa record label kubwa ya Def Jam, na makamu wa rais wa Island Def Jam.
Mchana huu Diamond anatarajia kupaa kuelekea South Africa kwa ajili ya tuzo za...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-MtVG2Lvu3do/VHiK5vLuOqI/AAAAAAADObE/q1Djb95TKHw/s72-c/TIBAIJUKA2014.jpg)
MHESHIMIWA PROF. ANNA TIBAIJUKA BORA UJIUZULU KULINDA HESHIMA YAKO NA CHAMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-MtVG2Lvu3do/VHiK5vLuOqI/AAAAAAADObE/q1Djb95TKHw/s1600/TIBAIJUKA2014.jpg)
Na Projectus Ishengoma LugumalilaMheshimiwa Bi.Anna Tibaijuka (Mb) Waziri wa Ardhi ni moja wa viongozi wachache sana wenye ujasiri na kiongozi muwazi katika sakata zima la Tageta ESCROW,kwani kiongozi huyu amekili wazi kuwa amepokea fedha Billion 1.6 kutoka kwa mmiliki
wa kampuni ya VIP Engineering Bw.James Rugimalira,tena si fedha ndogo.
Si jambo jema kumuhukumu Mheshimiwa Anna Tibaijuka,lakini sio vibaya kumshauri kwa kuwa amekuwa muwazi katika sakata...
5 years ago
BBCSwahili27 May
Virusi vya corona: Ni kwa namna gani unaweza kuvaa barakoa yako?
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-IGK5_aHR83U/VYVTkuPCJqI/AAAAAAAAwBs/dM1G-dLehVo/s72-c/black-couple-kissing1.jpg)
Michepuko Embu Ooneeni Huruma Ndoa za Wenzenu..Someni Hapa Jinsi ya Kuandika Meseji Kwa Jamaa yako ili Hata ikisomwa na Mkewe Isiwe Shida
![](http://1.bp.blogspot.com/-IGK5_aHR83U/VYVTkuPCJqI/AAAAAAAAwBs/dM1G-dLehVo/s640/black-couple-kissing1.jpg)
Embu hili swala liangaliwe vizuri ili kutosababisha matatizo ktk ndoa za watu.Jana nimetoka kazini, nikakatext ka mchepuko ka kitambo kidogo.Mimi: Mambo vipi!Mchepuko: Poa tu mpenzi wangu.
Aisee nikashtuka nikaidelete sms haraka. Nikajiuliza vipi kama ingepokelewa na mke wangu.
Jamani michepuko ifike mahala mjue kabisa tuko na familia zetu, lakini pia tunawajali. Chondechonde msilainishe sms. Andikeni sms ngumu ngumu., ili hata ikisomwa kwa bahati mbaya na wake zetu wasilete shida.
Mfano:Mimi:...
11 years ago
BBCSwahili11 Jun
Nchi gani itatembeza kichapo Brazil?
11 years ago
TZToday31 Jul
Tazama nchi gani watakuwa Majirani zako wapya kama Pangea ikiunganika
(Map of Pangea With Current International Borders)
![](/habari/pangaea3.jpg)
5 years ago
BBCSwahili10 Mar
Nchi za SADC ziko tayari kiasi gani kudhibiti virusi vya corona?
5 years ago
BBCSwahili04 May
Virusi vya corona: Nchi gani zinafanya vizuri katika kupima watu?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m1tWer77BeB0Zk5Shogo3fDothM94qc3yDIx-EDNTorNn4SMpssWqwLcb6nqH2Blz3JnmxAa26zldyAJnMwUJjh5xRJ4n3GE/ofm.jpg?width=650)
UKIKUTANA NA MTU HUYU, KAA MBALI!
5 years ago
BBCSwahili27 Apr
Virusi vya corona: Nchi zinazoongozwa na wanawake wametumia mikakati gani kukabiliana na janga hili?