NDOA MWILI MMOJA, SIMU USISHIKE YA MWENZI WAKO! MH!
DAH! Mwaka ndiyo huo unakatika, eti zimebaki siku mbili tu, leo na kesho, keshokutwa mwaka mpya! Leo katika mada yetu nazungumzia jinsi wapendanao wanavyotenganishwa na simu za mkononi huku kwenye upande wa ndoa ikisemwa watu wawili waliooana wanakuwa mwili mmoja. Labda turudi katika imani mbalimbali, maandiko yanasema kuwa, mwanamke na mwanaume wanafunga ndoa na kuishi kama mke na mume, wanakuwa si wawili tena bali mwili...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLUMUHIMU WAKO KWA MWENZI WAKO UKO WAPI?
11 years ago
GPLUMUHIMU WAKO KWA MWENZI WAKO UKO WAPI? -3
11 years ago
GPLUMESHAGUNDUA ANACHOHITAJI MWENZI WAKO?-2
11 years ago
GPLUMESHAGUNDUA ANACHOHITAJI MWENZI WAKO?
11 years ago
GPLUNYENYEKEVU KWA MWENZI WAKO NI UTUMWA?-2
11 years ago
GPLUNYENYEKEVU KWA MWENZI WAKO NI UTUMWA?
10 years ago
GPLKIPIGO KINAWEZA KUMNYOOSHA MWENZI WAKO?-2
10 years ago
GPLKIPIGO KINAWEZA KUMNYOOSHA MWENZI WAKO?
10 years ago
Mwananchi14 Jun
MITINDO: Vaa sare na mwenzi wako